Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,556
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shemeji ndio nini hii unamfanyia mdogo wangu lakini?
Nimeshajitetea tayari, naamini amenielewa.
Don Clericuzio dada anakuuliza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] shemeji ndio nini hii unamfanyia mdogo wangu lakini?
Don Clericuzio dada anakuuliza
Kwa nimjuavyo mdogo wangu, ameelewa ila hajasameheNimeshajitetea tayari, naamini amenielewa.
Sista acha uchochezi sasa 😄Kwa nimjuavyo mdogo wangu, ameelewa ila hajasamehe
Namwambia ukweli [emoji16]Sista acha uchochezi sasa [emoji1]
Natumai hamjambo wanajamvi.
Wakuu kupitia uzi huu, kila mmoja wetu awatumie salam watu 5 awapendao hapa ndani, mi naanza kama ifuatavyo:
Salam za kwanza nazipeleka kwa KATOTO KAZURI, ujumbe: "mi napenda sana kusoma post zako na unapomaliza siku nyingi bila kupost hua nazimiss sana post zako"
Za pili ziende kwa NOELIA, ujumbe: "napenda sana kusoma & ku-reply comment zako"
Za tatu ziende kwa CHAKORII, ujumbe: "kupitia imagination naamini we ni waifu matirio unaestahili kuishi katika pango la moyo wangu sema ni vile tayari nina mke"
Za nne ziende kwa YNA2, ujumbe: "kupitia comment zako huamin we ni binti mpole sana japo bihaindi ze sini sijui kama upo hivo"
Za mwisho ziende kwa wana EM EM YU wote, ujumbe: "tuidumishe MMU coz ndo jukwaa linalotusaidia sana kujifunza na kutatua changamoto za mahusiano &ndoa zetu"
Haya karibuni nanyi mtiririshe salam zenu kwa wapendwa wenu.
Namwambia ukweli [emoji16]
Basi ni vizuri. Nipo sana sema niko bush ndio maana muda wa kuingia humu ni mdogoNimemsamehe,siku hizi nasamehe haraka sana
Halafu nimekumiss,sijakuona siku nyingi dia sister
Sista acha uchochezi sasa 😄
Hakuna mtu atalalamika!Kwa hiyo umeamua kutumia code ili tusilalamike hatujatajwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah
It means a lot. Thank you so much.Well, I'd like to give a big shout-outs to these "Big mind" fellas here.....
Wyatt Mathewson
The Boss
Nyani Ngabu
RRONDO
Paula Paul
Kiranga
Elli Mshana
Mshana Jr
Oops! Only five??? 😅
Let's meet at the top, cheers 🥂
Mimi nalalamikaHakuna mtu atalalamika!
Juu ya nini Crush,Mimi nalalamika
Haujanimensheni crush mbona unajitoa ufahamu?Juu ya nini Crush,
I did, pitia notifications utaona kuna ujumbe wako pia!Haujanimensheni crush mbona unajitoa ufahamu?
😂😂😂😂 eti KolomijeHaha muache mzee wa kolomije Arturo
Mbona code sio ngumu kihivyo.Haujanimensheni crush mbona unajitoa ufahamu?