Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Haha aikooooh ya komweaikoooh 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 shenzzzy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haha aikooooh ya komweaikoooh 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 shenzzzy
🤣🤣baki nao wale wale watt wenzako, mi shida yangu unaijua ipo wazi you know😂😂😂 sawa my new rival
Nimesimama kwenye kona
Utashika miguu shoo 😂🤣🤣baki nao wale wale watt wenzako, mi shida yangu unaijua ipo wazi you know
Anayeabudiwa tarehe 25 December ni Tamuzi, muungu wa Babeli aliyeingizwa afanane na YESU Ili aabudiwe Kwa Siri na wakristo. Hiyo ni KAZI ya waroma.
Mnaabudu miungu Kwa kujua au kutojua.
Soma (Yeremia 7:17-18), (Ezekiel 8:1-20), (Mwanzo 1:8) Nimrod ndiye baba wa Tamuzi wa mchongo.
ntakuvuta hiko ki nanilii chako nyau weweHaha aikooooh ya komwe
Mbuzi wa maziwa wewe 😂😂ntakuvuta hiko ki nanilii chako nyau wewe
Is one sided love neccesary? [emoji1787][emoji1787] nimeghairi kupokea hizo salamu 🫠
wewe nifanye mimi fala, yan mpaka mseme hiyo b msioimalizia ni nini bakari,bebi,boya?Nimecheka mpaka nimelala chini! 🤣🤣
Hahaha salamu zimekaa kimchongo jamani[emoji23][emoji23][emoji23]
Please usikatae, my queen[emoji38]
mheshimu Aunty kama huwez ita mke mwenza 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mbuzi wa maziwa wewe 😂😂
Haha shaka ondoa..
Safi safii, kula bata mpaka kuku waone wivu..
Hahaha salamu zimekaa kimchongo jamani
Shida ya dini kuchanganya Biblia,Ndoto za mwanamke kalala kaota malaika watatu na mafundisho ya kipagani na kujenga doctorine ya kanisa la sabato.Kama ulivyoandika hapo ni mchanganyiko wa hayo matatuAnayeabudiwa tarehe 25 December ni Tamuzi, muungu wa Babeli aliyeingizwa afanane na YESU Ili aabudiwe Kwa Siri na wakristo. Hiyo ni KAZI ya waroma.
Mnaabudu miungu Kwa kujua au kutojua.
Soma (Yeremia 7:17-18), (Ezekiel 8:1-20), (Mwanzo 1:8) Nimrod ndiye baba wa Tamuzi wa mchongo.