ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 22,235
- 51,111
- Thread starter
-
- #101
BaasiiiiiiiiiiKutokuelewa vitu ee?
Ni matumaini yangu kuwa nipo salama.
Nimeisha mimi.
Mimi nilidhani ni kuchoka tu.
Halafu nikilala nakuaje mzito kuamka π
Hasira nyingi π
Naweza mgombeza hadi Mama angu.
Ndio lengo lake, kumbe hujajuaWee kumbe ndio lengo alooπ
Jikite na mada mtakula ban sasa hiviMbona unachanganya matter wapi nimesema tunafahamiana?
mh! I wonder
Okay πNdio lengo lake, kumbe hujajua
Hapana Shes niko 26 nina bachelor tyr niki add ten au nine yrs ntakuwa na 36 hivyo kwangu sio mbayaUmechelewa hapo
kesho mkuu,Jikite na mada mtakula ban sasa hivi
Kuna mod hachekeshikesho mkuu,
namjua aise..ntarudi kesho mkuu,Kuna mod hachekeshi
Kila la heri tumaini lako litimie na tuseme AmenπHapana Shes niko 26 nina bachelor tyr niki add ten au nine yrs ntakuwa na 36 hivyo kwangu sio mbaya
Niombeeni utume mwema
π Big Noooo!Baasiiiiiiiiii
Gudubaiiiiiiπ ββοΈ
New baby mom in town π
Nimekuona baby we ni wa moto ujue π .Chuki imemzidi uwezo na mi nipo live kwa ajili yake leo muda ninao
Iwe kwa namna nzuri na isiyoumiza πHamna shida
uchokoz gani sasa mamyπ
kwaio siruhusiw kutoa maoni tofauti na wengine
π π mi napenda watoto sana uniletee babeππ Big Noooo!
π€
Wewe huogopi ukiona yule jamaa wanamuita waziri wa maendeleo ya Vijana sijui nini na nini.Bila serikali kuwa serious na mahitaji ya wananchi kila mtu atageuka motivasheni spika, ni swala la muda tuπ€
Okay I got uIwe kwa namna nzuri na isiyoumiza π
Hakuna la maana hata sio sifa mtu kua na maungomvi basi tuNimekuona baby we ni wa moto ujue π .
Nikichokozwa nakuita chap
Ni kubaya sana mkuu, sirikali imelalaWewe huogopi ukiona yule jamaa wanamuita waziri wa maendeleo ya Vijana sijui nini na nini.
Pamoja na title yake ya Waziri lakini anawaletea vijana umotivesheni spika wake, unategemea mwananchi wa kawaida itakuwaje?
Sasa ikiwa ni kweli naomba siku nikijifungua umfate tumalizane ππ π mi napenda watoto sana uniletee babeπ
Muda wako wa lindo tayari au umewahi leo?Wewe huogopi ukiona yule jamaa wanamuita waziri wa maendeleo ya Vijana sijui nini na nini.
Pamoja na title yake ya Waziri lakini anawaletea vijana umotivesheni spika wake, unategemea mwananchi wa kawaida itakuwaje?
Hadi uchokozi utangulie si ndio πHakuna la maana hata sio sifa mtu kua na maungomvi basi tu