Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
Msisitizo:Ni ujinga zaidi pale unapotumia nguvu nyingi kumpa facts mjinga ambaye anatetea mambo yaliojaa ujinga. Msimamo wako kuhusu mjadala wa Bandari tunaujua fika. Usitulazimishe tuamini unachokiamini wewe. Tuache Watanganyika na Tanganyika yetu.
Huo ndo ushahidi wako wa uuzaji wa Bandari?Wee jamaa mwehu! Ukinunua kiwanja unondoka nacho nyumbani? Hati ya mauziano ndio inayokupa uhalali wa umiliki kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuaji! Mkataba wa DPW aliokwisha kuusaini huyu SSH na kupitishwa na bunge, hapa tunapoongea bandari ni mali ya Dubai! Tunachotaka serikali ifanye ni kuuvunja kabla ya Dubai kuanza utekelezaji na kama ni fidia itakuwa ni kidogo kuliko akishaanja utekelezaji!
Ndugu yang hao wameshalishwa pumba na kina Lissu na kwakweli wamefanikiw kuwachota watu wengi. Wanafata mkumbo tu hao mabarazuli tu.Huo ndo ushahidi wako wa uuzaji wa Bandari?
Takataka kabisa wewe!!
Sasa ndiyo imeweka ujinga wako hadharani! Ni nafuu kumfundisha chizi kuliko wewe!Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Huo ndo ushahidi/ uthibitisho wako?Sasa ndiyo imeweka ujinga wako hadharani! Ni nafuu kumfundisha chizi kuliko wewe!
Leo nataka tukate mzizi wa fitna hapaNdugu yang hao wameshalishwa pumba na kina Lissu na kwakweli wamefanikiw kuwachota watu wengi. Wanafata mkumbo tu hao mabarazuli tu.
Hili ni jukwaa huru. Hakuna aliyeshikiwa bunduki hapa. Watu waseme na kuweka uthibitisho wa huo uuzaji hapaVijana wengi ni wa hovyo sana hii nchi.
Tena wenye tamaa ya madaraka.
Chizi kama wewe huwezi kuelewa!Huo ndo ushahidi/ uthibitisho wako?
Weka ushahidi wa huo uuzaji hapa ili wewe uwe mwerevu na mimi niwe chizi kweliChizi kama wewe huwezi kuelewa!
Nawasubiri hapa na mimi wauweke huo ushahidingoja nisubiri hapa huo ushahidi nikawaoneshe kwenye kijiwe chetu cha kahawa, huwa wabishi sana wale wazee..
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Nenda kakate mzizi wa fitina na mamayo au mkeo.Leo nataka tukate mzizi wa fitna hapa
uthibitisho gani tena unaoutaka kujua kuwa bandari haijauzwa tangu siku ya kwanza umevuja mijadala imekuwa mingi sana hapa jfKama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu...
Kuna shida gani ukapunguza hayo maneno na ukaweka uthibitisho wa huo uuzwaji wa Bandari?uthibitisho gani tena unaoutaka kujua kuwa bandari haijauzwa tangu siku ya kwanza umevuja mijadala imekuwa mingi sana hapa jf
chawa Wenzako wameshatoka huko zamani sana vifungu vyenye utata walishashindwa kujibu sasa njia iliyobakia ni kutumia dola we leo sijui wewe pengine unamkata mwingine tofauti na huu wanaozungukanao wakina chongolo
Ndo uthibitisho wako huu sio?Nenda kakate mzizi wa fitina na mamayo au mkeo.