TikTok2020
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 1,816
- 3,150
Kusema bi shungi kauza wamemtetea sana tena mlipaswa kuwashukuru kwa sababu kilichofanyika ni zaidi ya kuuzwaKwa hiyo wanaosema imeuzwa kina Lissu wanadanganya na ni wazandiki sio?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema bi shungi kauza wamemtetea sana tena mlipaswa kuwashukuru kwa sababu kilichofanyika ni zaidi ya kuuzwaKwa hiyo wanaosema imeuzwa kina Lissu wanadanganya na ni wazandiki sio?
Huwezi kupata kwa sababu bandari haijauzwa.🤣Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Mbona na wewe umeshindwa kuelewa. Si ndio maada ya mktaba kuwa una ukomo lini. Yaani hii dp itakuwa Ni wahuni wa hapa hapa home, na wamejipanga kuuza na kumiliki umeme wa bwawa la NYERERE,why umeme usishuke Bei kwanza na huku tuliambiwa ivyo sawa na gesi,Soma mada elewa ndo ujibu
Kumpa mtu umiliki wa mali na haki zote kwa muda usio na kikomo kuna tofauti gani na kumuuzia? Au ulitaka uoneshwe reciept ya mauzo kabisa? 😂 😂 😂Msisitizo:
Sitaki longolongo, Weka ushahidi wa Bandari kuuzwa
Kwa hiyo unakili wanaosema zimeuzwa ni wazandiki na waongo sio?Unataka kuanzisha ubishi wa kitoto siyo?
Kwani kama hazijauzwa huku wewe ukiwa na uhakika huo, why trouble yourself asking evidences from people?
Huna uhakika na ukweli wa ushahidi ulionao wewe kuwa hazijauzwa au..???
Kwa hiyo ushahidi wako wa kuuzwa ni suala la ukomo wa mkataba?Mbona na wewe umeshindwa kuelewa. Si ndio maada ya mktaba kuwa una ukomo lini. Yaani hii dp itakuwa Ni wahuni wa hapa hapa home, na wamejipanga kuuza na kumiliki umeme wa bwawa la NYERERE,why umeme usishuke Bei kwanza na huku tuliambiwa ivyo sawa na gesi,
Wakikujibu nijuze na mieKama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Amepewa umiliki wa Mali zote zipi? Kwa mujibu wa kifungu kipi?Kumpa mtu umiliki wa mali na haki zote kwa muda usio na kikomo kuna tofauti gani na kumuuzia? Au ulitaka uoneshwe reciept ya mauzo kabisa? 😂 😂 😂
Dada yako akiwekwa kiunyumba na muhuni kwa zaidi kwa zaidi ya miezi 6 hata kama hajalipiwa mahari serikali yenyewe inamtambua kama Mke. Thats an implied condition.
Huu ndo ushahidi/ uthibitisho wako?Kusema bi shungi kauza wamemtetea sana tena mlipaswa kuwashukuru kwa sababu kilichofanyika ni zaidi ya kuuzwa
Huu ndo ushahidi wako?Akili huna, unatulipa bei gani?
Hilo ni swali gani mzee, acha dharau ina maana ule mkataba hujauona au?Amepewa umiliki wa Mali zote zipi? Kwa mujibu wa kifungu kipi?
Weka icho kifungu bwashee! Acha longolongoHilo ni swali gani mzee, acha dharau ina maana ule mkataba hujauona au?
Kumpa DP world lease isiyo na ukomo unailewaje au unatafsiri je hiyo lease?Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Chawa wa mama mshapigwa marufukuKama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Uzi unataka ushahidi/ uthibitisho sio longolongoChawa wa mama mshapigwa marufuku
Weka ushahidi bwashee! Mnadai Bandari zote zimeuzwa, uzi unataka ushahidi wa huo uuzwaji sio longolongoKumpa DP world lease isiyo na ukomo unailewaje au unatafsiri je hiyo lease?
NB: Bila CCM kukurudishia ubongo wako mbona utateseka sana "INJI" hii.