Tumalize Ubishi: Naombeni Ushahidi wa Uuzwaji wa Bandari

Tumalize Ubishi: Naombeni Ushahidi wa Uuzwaji wa Bandari


View: https://youtu.be/ik2PWn6qjh0

Kwamba ni tawi la CCM na genge la wanasheria wanaosaka uteuzi wapo kimatumbotumbo tu.

Kwa kinachoendelea nchini na kinachowapata wenzao....

Sikutarajia kuwaona pale wakimkenulia huyo mtoa teuzi...kila mmoja anawaza uteuzi tupu!

Nchi hii inao wasomi wa ajabu sana

Umekuwa malaika kujua watu wanawaza nini mioyoni mwao?
 
Hili ni jukwaa huru. Hakuna aliyeshikiwa bunduki hapa. Watu waseme na kuweka uthibitisho wa huo uuzaji hapa
Kweli mkuu wasipotoshe watu hawa jamaa, kama wao wana uthibisho kuwa biashara ilishafanyika WALETE HAPA USHAHIDI !
WAACHE LONGOLONGO ZAO
 
Mwl Nyerere: Mtu akikuambia jambo la kipumbavu ilhali anajua kuwa unajua anasema upumbavu, basi mtu huyo ANAKUDHARAU!!!!

Lord Denim, dharau Kwa Watanzania Zina mwisho wake!!

Tusubiri.
 
Ni ujinga zaidi pale unapotumia nguvu nyingi kumpa facts mjinga ambaye anatetea mambo yaliojaa ujinga. Msimamo wako kuhusu mjadala wa Bandari tunaujua fika. Usitulazimishe tuamini unachokiamini wewe. Tuache Watanganyika na Tanganyika yetu.
Maana yake hauna ushahidi, unapiga porojo tu, au siyo?
 
Mwl Nyerere: Mtu akikuambia jambo la kipumbavu ilhali anajua kuwa unajua anasema upumbavu, basi mtu huyo ANAKUDHARAU!!!!

Lord Denim, dharau Kwa Watanzania Zina mwisho wake!!

Tusubiri.
Acha maneno weka uthibitisho bwana
 
Weka kwanza huo ushahidi. Nitakachofanya nakijua mimi
Unataka kuanzisha ubishi wa kitoto siyo?

Kwani kama hazijauzwa huku wewe ukiwa na uhakika huo, why trouble yourself asking evidences from people?

Huna uhakika na ukweli wa ushahidi ulionao wewe kuwa hazijauzwa au..???
 
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu

Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?

Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Weka wewe ushahidi kua haijauzwa yoteyote bali wamepewa kwa muda watarudisha siku fulani
 
Back
Top Bottom