Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Msisitizo.Nadhani ni jukukumi lako wewe kuweka ushaidi kwamba Makubaliano husika ni ya muda gani na Tanganyika itafaifika vipi. We are tired with mere Blanket statements from your end. Hata unachokitetea hukijui. Ni endless/perpetual bla bla tu.
Mkataba ni HIYARI au LAZIMA KWA SHURUTI?Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Uzi unahitaji ushahidi/ uthibitisho sio maswaliMkataba ni HIYARI au LAZIMA KWA SHURUTI?
Sijaomba uthibitisho. Nimeuliza swali na jibu ni yes or noUzi unahitaji ushahidi/ uthibitisho sio maswali
Anzisha uzi wako wa kuuliza swali. Hapa tunataka uthibitisho tu wa Bandari kuuzwa sio longolongoSijaomba uthibitisho. Nimeuliza swali na jibu ni yes or no
Lord Denning alikuwa reasonable philosophical Judge ambaye aliweka mfano bora wa namna Haki inavyowajibika kutumikia Haki.Anzisha uzi wako wa kuuliza swali. Hapa tunataka uthibitisho tu wa Bandari kuuzwa sio longolongo
Huu ni muendelezo wa longolongo.Lord Denning alikuwa reasonable philosophical Judge ambaye aliweka mfano bora wa namna Haki inavyowajibika kutumikia Haki.
Unatumia ID kwa jina hilo ambapo kimsingi upo below the any imbecile you know
Ushahidi uliopo ni kwamba bi shungi kagawa mali za waTanganyika kwa wajomba zake waarabu unataka udhibitisho gani tena wakati hilo liko waziHuu ndo ushahidi/ uthibitisho wako?
Uko wapi huo ushahidi wa kuuza/ kugawa?Ushahidi uliopo ni kwamba bi shungi kagawa mali za waTanganyika kwa wajomba zake waarabu unataka udhibitisho gani tena wakati hilo liko wazi
My Lord, until proven otherwise, prima facie, do not rule!Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Hakuna mwenye akili timamu akasema hilo, isipokuwa mpotoshaji tu.Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Nakubaliana na weweHakuna mwenye akili timamu akasema hilo, isipokuwa mpotoshaji tu.
Hata mawakili wao walipoenda kuupinga mkataba hawakuja na hi;o la bandari kuuzwa, wanajuwa hilo hakuna na ni kosa la jinai kuesema uongo.
Hawa watu wa JF 08% kwa mia a hata IGA hawaelewi ni nini HGA hawaelewi ni nini "concession contracts hawaelewi ni nini.
Na tatizo kubwa, hawana muda wa kujisome kuelewa hivyo vitu ni nini.
Ntashangaa sana ikiwa Engli ni ya kama "Profesa" Tibaijuka halafu mapoyoyo wa JF wakausome mkataba au hukumu waelewe.
Humu watu wanafata mkumbo tu. Wajinga ndiyo waliwao.
Magufuli alishwadtukia, wakimwabia "Njaa" anawaambia "kufa".
Jiulize na ujijibu mwenyewe - umewahi kulifanyia mafanikio gani nini TAIFA lako? Ukumbuke - udini, ukabila na ulevi mwingine wowote ule na hapo changanya na UJINGA binafsi, u-magna ignoramus inclusive ni UPUUZI per ce!Pinga pinga FC hawana majibu ni watu wa hovyo tu, wamesoma elimu zao hazijawasaidia
wabaguzi na wadini kupindukia mbwa hao.
Ndo nini hichi?Tumbonomics haina invoice
nenda kwa mama abdul, kamuulizeKama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu
Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?
Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Ndo ushahidi wako huu sio?nenda kwa mama abdul, kamuulize