Tumalize Ubishi: Naombeni Ushahidi wa Uuzwaji wa Bandari

oJiulize na ujijibu mwenyewe - umewahi kulifalnyia mafanikio gani nini TAIFA lako? Ukumbuke - udini, ukabila na ulevi mwingine wowote ule na hapo changanya na UJINGA binafsi, u-magna ignoramus inclusive ni UPUUZI per ce!
Wewe umelifanyia nini Tanganyika lako - LOFA wewe.
 
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu

Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?

Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Ili upate jibu lisililo na utatanishi, jiulize, tatizo la bandari ni uendeshaji au mtaji wa kuboresha? Kama ni uendeshaji, Serikali inakwama vipi kusimamia? Kama ni mtaji wa kuboresha, kwa nini isiweke mazingira ya kuwawezesha Wazawa kuwekeza kama ina amini bandari ikiboreshwa italeta mapato maradufu.

Sikiliza ushauri wa Baba wa Taifa kuhusu uwekezaji
 
Attachments

  • VID-20230815-WA0001.mp4
    5.3 MB
Ili upate jibu lisililo na utatanishi, jiulize, tatizo la bandari ni uendeshaji au mtaji wa kuboresha? Kama ni uendeshaji, Serikali inakwama vipi kusimamia? Kama ni mtaji wa kuboresha, kwa nini isiweke mazingira ya kuwawezesha Wazawa kuwekeza kama ina amini bandari ikiboreshwa italeta mapato maradufu.

Sikiliza ushauri wa Baba wa Taifa kuhusu uwekezaji
Rejea msisitizo
Weka majibu. Usilete longolongo
 
Kama kawaida yangu Lord Denning a.k.a kiboko ya wafiwa a.k.a kiboko wa ufipa fc na kiboko ya wapotoshaji leo nakuja kwenu wale mnaodai Rais ameuza Bandari zetu

Swali langu kwenu.
Upo wapi uthibitisho/ ushahidi wa Bandari zetu/ yetu kuuzwa?

Msisitizo: Sitaki longolongo , naombeni uthibitisho wa Bandari zetu kuuzwa!
Ni pale utakapoitaka utaambiwa utoe kigombozi ambacho huwezi kukitoa .
 
Jikite kwenye swali la uzi. Acha longolongo
Mbona Kama wewe ndiye unaye lingo longo.

Hivi jamaa watakuwa wanalipa Kodi kiasi gani. Na tumewamilikisha asilimia ngapi bandari yetu hivi ndugu mtanganyika?
Umecheki terms walizowekeana na swedeni miaka ya 1991 wakati wanawekeza huko Sweden na leo hii Karne ya 21 zinafanana kweli hata robo na za kwenu.

Kama hawatolipa Kodi kuwa wasamehewe Kodi huku wanyonge mkizidi kuwakamua adi boda anawekea Kodi ya 60k kwa mwaka ,iweje huyo mgeni awe na uthamani gani wa kufaidika na nchi ambayo sio ya kwake na asilipe,yaani Kama Taifa litanufaika vipi lakini.

Hapa najua nature ya ubongo huwezi jibu hasahasa utapata maumivu na utatoa matusi. Najua asili na namna ya ubongo wa mnyama unavyofanya kazi,kwa iyo karibu ,
 
Huo ndo ushahidi wako wa Bandari kuuzwa?
 
Ni ujinga zaidi pale unapotumia nguvu nyingi kumpa facts mjinga ambaye anatetea mambo yaliojaa ujinga. Msimamo wako kuhusu mjadala wa Bandari tunaujua fika. Usitulazimishe tuamini unachokiamini wewe. Tuache Watanganyika na Tanganyika yetu.
Weka uthibitisho, vinginevyo ni uhaini tu
 
Basi mmeshinda uwekezaji uanze

Chap chap

Ova
 
Ndio umejibu kwa perception yako lakini ama ndio umeamua kuziba sikio na macho. Poa Ziba sikio.hapa unaongelea raslimali za Taifa zinazomgusa kila mtanzania
Uthibitisho, anataka uthibitisho, mwekeeni tu jamani mbona mnazunguka sana? Au haupo?
 
Ni ujinga zaidi pale unapotumia nguvu nyingi kumpa facts mjinga ambaye anatetea mambo yaliojaa ujinga. Msimamo wako kuhusu mjadala wa Bandari tunaujua fika. Usitulazimishe tuamini unachokiamini wewe. Tuache Watanganyika na Tanganyika yetu.
mazuzu ktk ubora wenu, hivi hata hamjistukii? Eti Tanganyika yetu, mpumbavu ni mpumbavu tu
 
Wee jamaa mwehu! Ukinunua kiwanja unondoka nacho nyumbani? Hati ya mauziano ndio inayokupa uhalali wa umiliki kutoka kwa muuzaji kwenda kwa mnunuaji!

Mkataba wa DPW aliokwisha kuusaini huyu SSH na kupitishwa na bunge, hapa tunapoongea bandari ni mali ya Dubai!

Tunachotaka serikali ifanye ni kuuvunja kabla ya Dubai kuanza utekelezaji na kama ni fidia itakuwa ni kidogo kuliko akishaanja utekelezaji!
we mamako ana hasara ya maisha
 
kuna uwezekano mkubwa hapa hamna huo ushahidi, au umeshatolewa post zilopita mtu aniambie ni post namba ngapi?
 
Back
Top Bottom