Kwa hiyo unakili wanaosema zimeuzwa ni wazandiki na waongo sio?
Ulisoma historia ya ukoloni wa Tanganyika na Africa Kwa ujumla wewe? Ulielewa au ulikaririshwa?
Unamfahamu na kumkumbuka jamaa mmoja wa Kijerumani aliyeitwa
Carl Peters mwanzilishi wa kampuni iliyokuwa inaitwa
Germany East Africa Company iliyokuwa na sura ya kibiashara lakini ukweli ukiwa ni Wajerumani kuitumia kiundanganyifu kuwadanganya machifu wa jamii za Tanganyika hususani kule Tanga (usambaani) na Kilimanjaro (uchagani & upareni) ili kujitwali makoloni Africa?
Machifu wetu wa zamani zile tunaweza kuwasamehe Kwa sababu ya kiwango cha elimu na exposure walichokuwa nacho nyakati hizo kwani walijikuta wamegawa nchi zao kwa wageni kwa wakoloni kwa mikataba kama huu wa waarabu na kampuni yao ya DP World huku sisi wenye akili na ufahamu tukiupinga kwa nguvu zote kwa sababu tunajua ubaya na tunakoelekea..
NDIYO KUSEMA;
Carl Peters na kampuni yake ya
Germany East Africa Company mjerumani aliitwaa Tanganyika na kuwa koloni lao huku wenyeji wakiachwa na kilio kwa sababu ya ujinga wa machifu wao..
Leo
waarabu wa Dubai kupitia kampuni yao ya
DP World katika karne hii ya 21 eti bado viongozi wetu kwa
tamaa ya fedha na
mali;
ujinga na
upumbavu wamekubali kudangaywa na kudanganyika wamegawa bure rasrimali zetu kwa wageni na kutuingiza kwenye ukoloni mamboleo chini ya waarabu..!!
Kwa hiyo jibu langu kwa swali lako ni BIG NO. Bandari za Tanganyika hazijauzwa wala hazijakodishwa Kwa waarabu wa Dubai kupitia kampuni yao ya DP World bali, Rais Samia Suluhu Hassan na waziri wake wa ujenzi Prof. Makame Mnyaa Mbarawa (wote Wazanzibari) wametumia mamlaka yao vibaya (abuse of power) na kuzigawa zetu bureeee...!!
Hawa na CCM yao mfu hata wafanyeje, hata wawatumie polisi, TISS na hata JW ku - criminalize watu wakidhani watakiepuka kikombe cha adhabu yao, nakuhakikishia kuwa tutakula nao sahani moja
physically &
spiritually mpaka ifahamike ni nani mwenye nguvu, ni wao au sisi wenye nchi yetu..!
Tulimweza jiwe, huyu mwanamke hawezi lolote...