Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Great minds discuss ideas, average minds discuss events, mediocre minds discuss people. - Socrates.
 
Mama Amon Kalamu Mwanasiasa mtata
Huyu mtu mlishamjibu ILA kuficha aibu ameamua kuchagua na kuendelea kuwa mjinga.

Mama amon post yako imeeleweka hata kwa mtoto wa darasa la tatu.

Kuna aina nyingi za defense mechanism kama denial, repression, suppression au huenda ikawa intellectualization.

wenye tuliokuwepo hapa kujifunza na kuelewa tumeelewa mjinga mmoja akikataa majibu sababu alishakuwa nayo yake tunaachana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…