Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Leo tukate mzizi wa fitna Bwashee. Tujue humu nani wapotoshaji nani wanasema ukweli.

Tujue pia nani wakweli na nani wamehongwa kweli?
mbona kule kwenye kesi ya mbeya swali hilo lilijibiwa au hukuwepo mahakamani? au labda unge-seek ujumuishwe ue interested party? swali hili lilijibiwa. Rejea mawasilisho ya kule mbeya kwenye hiyo kesi wakati mahakimu wako mchakatoni kutoa maamuzi.
 
Nawasubiri hapa. Leo nataka tukate mzizi wa fitna maana hii nchi watu wanapenda sana kuwapotosha watu kwa kuwa hawana tu uelewa wa mambo!
Mahakama iko kwenye mchakato wa maamuzi, au na wewe ni mmojapo wa majaji wahusika?
 
Kwamba Haya so Called Makubaliano yanayofanyika Sharti yasiwe na Vipengele vya Mwenye Mali ananufaiki vipi to the T.....

Na hayo makubaliano ambayo hayaeleweki Mkataba utakuwaje ndio yanakubaliwa Bungeni kwa Niaba ya Mwananchi alafu Mikataba yenyewe ya tunapata nini itakuja baadae ambayo tutakuwa hatujui kama kweli tunachopata ni sawa au sio sawa sababu ni Siri ? Na siri hizi ndio zimesababisha tupigwe mpaka leo hii.......

Sihitaji kuwa mwanasheria kujua kwamba hayo so called makubaliano ni Raw Deal...; Na mimi kama mwananchi kusema kwamba tuendelee na mtiririko huo sababu eti Duniani kote ndio utaratibu, Basi huo Utaratibu kwa Tanzania haufai na ndio umetufikisha hapa tulipo
 
Niko zangu pale nimekaa nakunywa maziwa, nasubiri majibu ya magwiji wa sheria. Nadhani sisi wengine tusio na majibu tuwe wapole kwanza tupate kitu cha kujifunza. Ila humu JF kama alivyosema FaizaFoxy yakikosekana majibu au ukiwa umewapiga watu na kitu kizito hakuna pa kutokea, utakuja tu uporomoshewe matusi na kejeli.

Tena zaidi utapokea matusi toka kwa watu ambao hawajausoma huo mkataba hata paragraph 1. Wao wamehadithiwa na wanakwenda na hadithi kama zilivyo hawataki kuelewa kingine chochote
 
Kwamba Haya so Called Makubaliano yanayofanyika Sharti yasiwe na Vipengele vya Mwenye Mali ananufaiki vipi tu the T.....

Na hayo makubaliano ambayo hayaeleweki Mkataba utakuwaje ndio yanakubaliwa Bungeni kwa Niaba ya Mwananchi alafu Mikataba yenyewe ya tunapata nini itakuja baadae ambayo tutakuwa hatujui kama kweli tunachopata ni sawa au sio sawa sababu ni Siri ? Na siri hizi ndio zimesababisha tupigwe mpaka leo hii ?

Sihitaji kuwa mwanasheria kujua kwamba hayo so called makubaliano ni Raw Deal...; Na mimi kama mwananchi kusema kwamba tuendelee na mtiririko huo sababu eti Duniani kote ndio utaratibu, Basi huo Utaratibu kwa Tanzania haufai na ndio umetufikisha hapa tulipo
Rejea angalizo. Jibu swali sio longolongo
 
Niko zangu pale nimekaa nakunywa maziwa, nasubiri majibu ya magwiji wa sheria. Nadhani sisi wengine tusio na majibu tuwe wapole kwanza tupate kitu cha kujifunza. Ila humu JF kama alivyosema FaizaFoxy yakikosekana majibu au ukiwa umewapiga watu na kitu kizito hakuna pa kutokea, utakuja tu uporomoshewe matusi na kejeli.

Tena zaidi utapokea matusi toka kwa watu ambao hawajausoma huo mkataba hata paragraph 1. Wao wamehadithiwa na wanakwenda na hadithi kama zilivyo hawataki kuelewa kingine chochote
Nawasubiri hapa. Leo sabato. nipo na simu yangu tu hapa sifanyi jambo lolote nipo nao.
 
Rejea angalizo. Jibu swali sio longolongo
Huo muda uliotumia kuweka hii mistari ni longolongo na kujaza server..., Dialogue ina clarification huwezi kumuuliza mtu hii ni nyeusi au nyeupe utegemee akujibu kati ya hayo mawili wakati huenda ni Grey....

Watu mnajikita kwenye technicalities ambazo huenda hata frameworks zake zimewekwa to the detriment and marginalization of developing countries...; Wewe kama mali ni yako na watu wanaitaka unaweza ukaweka makubaliano / draft na mchakato to your liking...; Hakuna vifungu ambavyo ni Msahafu....
 
Kabla haujaenda huko kooote na uanasheria wako upepo. Hakuna IGA inayoweza kuingiwa kati ya Dubai na Tanzania, so acha kupotezea watu muda wa kutaka ufafanuzi wa vitu ambavyo existence yake kisheria na haramu.
Mkuu, nenda mbali kdg, una maana gani unaposema hakuna IGA inayoweza kuingiwa kati ya Tz ba Dubai wakati tayari ipo na ndio hii inayoleta kelele zote hizi? Au hiyo iliyosainiwa kwa utaalamu wako inaitwaje? (Kabla hujaibatilisha)
 
Tatizo la Watanzania ni ujinga, hawatopata kitu kama hicho na wataendelea kuwajaza watu ujinga na watu waJF wataendelea kukubishia vitu "irrelevant" kabisa na wataishia matusi na kutukana kila aina waijuwayo.

Niliandika hivi:

💯. Kuna groups za WhatsApp ambazo zimesheheni watu tunaojua ni wasomi nchi hii wengine kiwango cha PhD. Ila nikiangalia hoja zao au vitu wanavyopost hususan kwenye saga hili la Bandari, shikamoo FaizaFoxy . Hakika ujinga ndio adui namba moja Tanzania.

Binafsi najiuliza ujinga huu utaondoshwaji ukizingatia wanaojihusisha na huo ujinga tayari wana PhD! Vipi wanashindwa kufanya simple reasoning kiasi wanaburuzwa na kushare vitu vya kipuuzi.
 
Leo tukate mzizi wa fitna Bwashee. Tujue humu nani wapotoshaji nani wanasema ukweli.

Tujue pia nani wakweli na nani wamehongwa kweli?
Museven: Mh Magufuli Tanzania inabidi mtengeneze WATU wa kutosha

Tatizo la Watanzania ni Ujinga Ujinga ndio Umewasikia Zembwela na Hando wanakiri wao wako front kujadili Mkataba wa Bandari lakini hawana Uwezo wanaforce tu😂😂🔥
 
💯. Kuna groups za WhatsApp ambazo zimesheheni watu tunaojua ni wasomi nchi hii wengine kiwango cha PhD. Ila nikiangalia hoja zao au vitu wanavyopost hususan kwenye saga hili la Bandari, shikamoo FaizaFoxy . Hakika ujinga ndio adui namba moja Tanzania.

Binafsi najiuliza ujinga huu unaondoshwaji ukizingatia wanaojihusisha na huo ujinga tayari wana PhD! Vipi wanashindwa kufanya simple reasoning kiasi wanaburuzwa na kushare vitu vya kipuuzi.
Tuko page ya 2 hapa. Simuoni Lissu na sioni hata mmoja aliyejibu swali langu.

Naendelea kuwasubiri tu
 
Museven: Mh Magufuli Tanzania inabidi mtengeneze WATU wa kutosha

Tatizo la Watanzania ni Ujinga Ujinga ndio Umewasikia Zembwela na Hando wanakiri wao wako front kujadili Mkataba wa Bandari lakini hawana Uwezo wanaforce tu😂😂🔥
Watu tunao ila wengi hatutaki kuonekana na wengine hawana nafasi.

Wakati wa Mungu ukifika yatatokea tu
 
Back
Top Bottom