mbona kule kwenye kesi ya mbeya swali hilo lilijibiwa au hukuwepo mahakamani? au labda unge-seek ujumuishwe ue interested party? swali hili lilijibiwa. Rejea mawasilisho ya kule mbeya kwenye hiyo kesi wakati mahakimu wako mchakatoni kutoa maamuzi.Leo tukate mzizi wa fitna Bwashee. Tujue humu nani wapotoshaji nani wanasema ukweli.
Tujue pia nani wakweli na nani wamehongwa kweli?
Ndeleeni kutuambia ujinga wa miaka ya 1949.Rejea angalizo - Sitaki longolongo.
Swali langu na mambo ya TFF wapi na wapi?
Mahakama iko kwenye mchakato wa maamuzi, au na wewe ni mmojapo wa majaji wahusika?Nawasubiri hapa. Leo nataka tukate mzizi wa fitna maana hii nchi watu wanapenda sana kuwapotosha watu kwa kuwa hawana tu uelewa wa mambo!
Tunasukusubiri kijana wa Lissu.Unataka kushindana na Gwiji la sheria TUNDU ANTIPAS MUGWAI LISSU J.
Ngoja vijana wake tukupe shule.
Jibu swali acha longolongoTuanze kwanza na hiyo IGA ni kati ya nchi gani na nchi gani?
Rejea angalizo. Jibu swali sio longolongoKwamba Haya so Called Makubaliano yanayofanyika Sharti yasiwe na Vipengele vya Mwenye Mali ananufaiki vipi tu the T.....
Na hayo makubaliano ambayo hayaeleweki Mkataba utakuwaje ndio yanakubaliwa Bungeni kwa Niaba ya Mwananchi alafu Mikataba yenyewe ya tunapata nini itakuja baadae ambayo tutakuwa hatujui kama kweli tunachopata ni sawa au sio sawa sababu ni Siri ? Na siri hizi ndio zimesababisha tupigwe mpaka leo hii ?
Sihitaji kuwa mwanasheria kujua kwamba hayo so called makubaliano ni Raw Deal...; Na mimi kama mwananchi kusema kwamba tuendelee na mtiririko huo sababu eti Duniani kote ndio utaratibu, Basi huo Utaratibu kwa Tanzania haufai na ndio umetufikisha hapa tulipo
Nawasubiri hapa. Leo sabato. nipo na simu yangu tu hapa sifanyi jambo lolote nipo nao.Niko zangu pale nimekaa nakunywa maziwa, nasubiri majibu ya magwiji wa sheria. Nadhani sisi wengine tusio na majibu tuwe wapole kwanza tupate kitu cha kujifunza. Ila humu JF kama alivyosema FaizaFoxy yakikosekana majibu au ukiwa umewapiga watu na kitu kizito hakuna pa kutokea, utakuja tu uporomoshewe matusi na kejeli.
Tena zaidi utapokea matusi toka kwa watu ambao hawajausoma huo mkataba hata paragraph 1. Wao wamehadithiwa na wanakwenda na hadithi kama zilivyo hawataki kuelewa kingine chochote
Usikwepe hoja yanguWana sheria wenu uchwara kule Mbeya walibwagwa mahakamani kwenye hilo mapema tu, wakaufyata.
Hujasoma updates za @@Mdude_Nyagali na Erythrocyte?
Huo muda uliotumia kuweka hii mistari ni longolongo na kujaza server..., Dialogue ina clarification huwezi kumuuliza mtu hii ni nyeusi au nyeupe utegemee akujibu kati ya hayo mawili wakati huenda ni Grey....Rejea angalizo. Jibu swali sio longolongo
Mkuu, nenda mbali kdg, una maana gani unaposema hakuna IGA inayoweza kuingiwa kati ya Tz ba Dubai wakati tayari ipo na ndio hii inayoleta kelele zote hizi? Au hiyo iliyosainiwa kwa utaalamu wako inaitwaje? (Kabla hujaibatilisha)Kabla haujaenda huko kooote na uanasheria wako upepo. Hakuna IGA inayoweza kuingiwa kati ya Dubai na Tanzania, so acha kupotezea watu muda wa kutaka ufafanuzi wa vitu ambavyo existence yake kisheria na haramu.
Kwa hiyo mnakubali kuwa Lissu ni mpotoshaji na mzandiki?Huo muda uliotumia kuweka hii mistari ni longolongo na kujaza server..., Dialogue ina clarification huwezi kumuuliza mtu hii ni nyeusi au nyeupe utegemee akujibu kati ya hayo mawili wakati huenda ni Grey....
π―. Kuna groups za WhatsApp ambazo zimesheheni watu tunaojua ni wasomi nchi hii wengine kiwango cha PhD. Ila nikiangalia hoja zao au vitu wanavyopost hususan kwenye saga hili la Bandari, shikamoo FaizaFoxy . Hakika ujinga ndio adui namba moja Tanzania.Tatizo la Watanzania ni ujinga, hawatopata kitu kama hicho na wataendelea kuwajaza watu ujinga na watu waJF wataendelea kukubishia vitu "irrelevant" kabisa na wataishia matusi na kutukana kila aina waijuwayo.
Niliandika hivi:
Tanzania tuna Adui mmoja tu, Ujinga, nyingine zote ni porojo za ujinga wetu tu
Hili la adui ujinga nimeliandika mara nyingi hapa JF kwenye posts tofauti. Kwa miaka mingi sasa huwa nauliza na kujiuliza "hivi hizo shule mlienda kusomea ujinga?" Kuuliza kwangu siyo kwa kukisia au kwa kebehi au kejeli, ni swali la ukweli kabisa. Kilichonisukuma kuandika haya, ni yote...www.jamiiforums.com
Sijaikwepa, nakufahamisha kuwa hata wanasheria wenu uchwara waliliongea hilo mahakamani wakabwagwa, halina mashiko. Dubai wanaweza kuingia mkataba wowote ambao haupo au haujakatazwa kwenye katiba ya muungano wao.Usikwepe hoja yangu
Museven: Mh Magufuli Tanzania inabidi mtengeneze WATU wa kutoshaLeo tukate mzizi wa fitna Bwashee. Tujue humu nani wapotoshaji nani wanasema ukweli.
Tujue pia nani wakweli na nani wamehongwa kweli?
Tuko page ya 2 hapa. Simuoni Lissu na sioni hata mmoja aliyejibu swali langu.π―. Kuna groups za WhatsApp ambazo zimesheheni watu tunaojua ni wasomi nchi hii wengine kiwango cha PhD. Ila nikiangalia hoja zao au vitu wanavyopost hususan kwenye saga hili la Bandari, shikamoo FaizaFoxy . Hakika ujinga ndio adui namba moja Tanzania.
Binafsi najiuliza ujinga huu unaondoshwaji ukizingatia wanaojihusisha na huo ujinga tayari wana PhD! Vipi wanashindwa kufanya simple reasoning kiasi wanaburuzwa na kushare vitu vya kipuuzi.
Yule kwenye hili kakurupukaUnataka kushindana na Gwiji la sheria TUNDU ANTIPAS MUGWAI LISSU J.
Ngoja vijana wake tukupe shule.
Watu tunao ila wengi hatutaki kuonekana na wengine hawana nafasi.Museven: Mh Magufuli Tanzania inabidi mtengeneze WATU wa kutosha
Tatizo la Watanzania ni Ujinga Ujinga ndio Umewasikia Zembwela na Hando wanakiri wao wako front kujadili Mkataba wa Bandari lakini hawana Uwezo wanaforce tuπππ₯