Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Wewe mwenye uelewa unaona ni sawa Mkataba wa Maslahi ya Nchi, Mali ya Nchi uwe Siri na watu wapewe Summary na hio kanuni iliwekwa wapi na nani kasema haiwezi kubadilika; NDA zilikwekwa ili ku-protect Trade secrets kwamba wewe Coca sio lazima uweke wazi kwamba unachanganya chemikali hii na ile kwa kiasi gani hata wao hizo kemikali inabidi uziweke wazi ili watu wajue wanachokunywa sio makapi au kitu ambacho ni alergic kwao....

Kwahio watu wachache ndio wakae kwa manufaa ya mamilioni ambao hio mali ni ya kwao; na sio mara moja au mbili huko nyuma tumepigwa na hao hao so called wazalendo tuendelee kufanya hivyo sababu sheria ambazo always zina-marginalize developing countries walisema iwe hivyo ?; Na hawasemi iwe hivyo kwa kupangia mali zao bali mali zetu ?

Na aliyesema utaratibu huu lazima ufuatwe ni nani na ni wapi ? Yaani leo tukiamua kwa manufaa ya demokrasia uwazi na utawala bora kwamba hizi mali za mwananchi tunaweka wazi jinsi pesa inayotoka itakavyotumika na nani atapata nini kuna mtu atakataa kwamba sio utaratibu ? (Au hizo loopholes ziliwekwa na wanufaika ili waendelee kunufaika)?
Dunia haiendi kwa uelewa wa nchi moja inakwenda kwa uelewa wa jumla. Kanuni zinatungwa na sheria za kimataifa ambazo zinasomewa huko vyuoni, unaposikia mwanasheria wa kimataifa mbobezi tambua kuwa alisoma hizo kanuni huko vyuoni na akazifanyia mitihani na akafaulu, masuala ya mikataba ya kimataifa sio sawa na biashara za mapeasi au maembe yanafuata miiko na maadili yake.

Watu 350 wanaitwa wabunge na ndio wanaokuwakilisha wewe na mimi baada ya kupigiwa kura, na ndio hawa wenye kuongoza nchi kupitia bunge lililopo kisheria.

Huwezi kuishi kwa kufuata taratibu zako mwenyewe ni lazima uheshimu zile zilizopo na zinazoheshimiwa na dunia nzima, hakuna nchi inayoweza kuwepo kama kisiwa cha baharini.

Hizi kelele hazitusaidii kwa ujumla wetu.
 
Tatizo la Watanzania ni ujinga, hawatopata kitu kama hicho na wataendelea kuwajaza watu ujinga na watu waJF wataendelea kukubishia vitu "irrelevant" kabisa na wataishia matusi na kutukana kila aina waijuwayo.

Niliandika hivi:

Bibi kiukweli hii IGA sio rafiki kwa Tanzania na hicho ndo hatukitaki na unajua HILO
 
Dunia haiendi kwa uelewa wa nchi moja inakwenda kwa uelewa wa jumla. Kanuni zinatungwa na sheria za kimataifa ambazo zinasomewa huko vyuoni, unaposikia mwanasheria wa kimataifa mbobezi tambua kuwa alisoma hizo kanuni huko vyuoni na akazifanyia mitihani na akafaulu, masuala ya mikataba ya kimataifa sio sawa na biashara za mapeasi au maembe yanafuata miiko na maadili yake.

Watu 350 wanaitwa wabunge na ndio wanaokuwakilisha wewe na mimi baada ya kupigiwa kura, na ndio hawa wenye kuongoza nchi kupitia bunge lililopo kisheria.

Huwezi kuishi kwa kufuata taratibu zako mwenyewe ni lazima uheshimu zile zilizopo na zinazoheshimiwa na dunia nzima, hakuna nchi inayoweza kuwepo kama kisiwa cha baharini.

Hizi kelele hazitusaidii kwa ujumla wetu.
Usichoelewa contract ni Makubaliano; Na hakuna sheria inayosema makubaliano lazima yawe SIRI; ila mnaoingia Mkataba ndio maamuzi yenu muweke nini siri na nini muweke wazi (UAMUZI NI WENU) sasa linapokuja suala la mali ya nchi na sio mtu (kuwaamulia wananchi mambo gani yawe SIRI na wewe kuona ni sawa, nachelea kusema watu kama wewe ndio walitufikisha hapa)

Unaongelea kwamba wabunge ndio wawakilishi; Niambie ni Mikataba mingapi huwa inakwenda kujadiliwa Bungeni au huwa ni watu wanamalizana huko huko (tena wengine wanamalizana huko ughaibuni afadhali hata wangekuwa wanakuja kusaini mikataba huku huenda tungeambulia pesa ya juice na vitafunwa na malazi ambayo wangelala)
 
Naona unaendelea kuleta longolongo
 
Mkataba wa bomba la mafuta Uganda mpaka Tanga umepita bungeni.

Mikataba ya manunuzi ya ndege yote imepita bungeni.

Mkataba wa bandari umepita bungeni na umekwenda mbali zaidi unajadiliwa kwa zaidi ya mwezi mmoja na jamii nzima.

Wewe ndiye huelewi unayedhani mkataba unapaswa uwekwe wazi, kumbuka kuna mengi yanayoandikwa kwenye mikataba ambayo kampuni moja haipendi yajulikane kwa washindani wao wa kibiashara.
 
Hivi unajua unachoandika kweli hapa au unachosema baada ya kuandika unasahau hapo hapo..., Umesema Bungeni zinakwenda Summary haziwezi kwenda Mkataba ? Je Mikataba ya Gesi ilipita Bungeni; Na yale so called Madudu aliyoshangaa JPM ambayo kikweke alituingiza Bagamoyo ilipita wapi ? Au mpaka leo nani anajua nini ni nini ?

Mimi naongelea Transparency ili hata yale So called Madudu aliyopitisha JK; JPM akashangaa; Au Samia Akipitsha leo atakayekuja Kesho akashangaa ; Au yeye mwenyewe alivyoshangaa vipengele vimebadilishwa..., Haya yote yataendelea kutokea kama Hakuna UWAZI kwenye mali za UMMA; Na hawa wajanja wanajua kucheza na watu kama nyie ndio maana wanajibanza kwenye Non Disclosure Agreements...
 
Unataka kushindana na Gwiji la sheria TUNDU ANTIPAS MUGWAI LISSU J.

Ngoja vijana wake tukupe shule.
Lisu ambae alibwagwa mahakamani na Albert Msando? Hii nchi kwakweli Acha tu masisiemu yatawale milele ikiwa hawa Walokole wanaojiita mbadala ndio wako katika tope hili la upumbavu, inasikitisha sana huenda ukawa ni graduate wa chuo kikuu na bado akili yako ikawa imedumaa kiwango hicho, kuna mwenzio mwingine hata kinachoendelea mahakamani hafuatilii
 
Hivi unajua unachoandika kweli hapa au unachosema baada ya kuandika unasahau hapo hapo..., Umesema Bungeni zinakwenda Summary haziwezi kwenda Mkataba ? Je Mikataba ya Gesi ilipita Bungeni; Na yale so called Madudu aliyoshangaa JPM ambayo kikweke alituingiza Bagamoyo ilipita wapi ? Au mpaka leo nani anajua nini ni nini ?

Mimi naongelea Transparency ili hata yale So called Madudu aliyopitisha JK; JPM akashangaa; Au Samia Akipitsha leo atakayekuja Kesho akashangaa ; Au yeye mwenyewe alivyoshangaa vipengele vimebadilishwa..., Haya yote yataendelea kutokea kama Hakuna UWAZI kwenye mali za UMMA; Na hawa wajanja wanajua kucheza na watu kama nyie ndio maana wanajibanza kwenye Non Disclosure Agreements...
Kuwepo kwa uwazi kwenye mikataba inategemea na makampuni tunayofanya nayo biashara iwapo yanaridhika nao au hapana.

Bomba la gesi alilosaini mkataba hayati JPM, umeshawahi kuuona mkataba wake hadharani?.

Biashara ya manunuzi ya ndege ya cash, umeshawahi kuiona mikataba yake hadharani?

Na kila kitu kinapita huko huko bungeni. JPM aliyeyaona madudu ya JK, na yeye Samia anayashangaa madudu aliyoyacha, mfano ni watu wengi kufungwa bila ya makosa yenye kueleweka na kuishia kutesa familia zisizo na makosa yoyote.

JPM alikuwa anapenda kuonyesha yeye ni bora kuliko JK na hata kuliko Mkapa, alikuwa anapenda sana kuidharau awamu ya Kikwete na alipoingia akataka kubadilisha kila kitu kilichoanzishwa na mtangulizi wake na akayafanya maisha yakawa magumu zaidi.
 
Mpaka sasa 192 - 0

Hakuna hata mmoja aliyeweza Kui-challenge hoja.

Kweli hii ni funga kazi.
 
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
Hacha kutuandikia ujinga...ili swala sio la lissu ni la viongozi wako wa ccm na Wanasheria wenu Mavi wanaoshindwa ata kujibu maswali huko ughaibuni,wanaishia kusema yes ,No. i was not there that day...wakati sahihi kwenye makaratasi ni yake.
 
Lisu ambae alibwagwa mahakamani na Albert Msando? Hii nchi kwakweli Acha tu masisiemu yatawale milele ikiwa hawa Walokole wanaojiita mbadala ndio wako katika tope hili la upumbavu, inasikitisha sana huenda ukawa ni graduate wa chuo kikuu na bado akili yako ikawa imedumaa kiwango hicho, kuna mwenzio mwingine hata kinachoendelea mahakamani hafuatilii
Haha
 
Hacha kutuandikia ujinga...ili swala sio la lissu ni la viongozi wako wa ccm na Wanasheria wenu Mavi wanaoshindwa ata kujibu maswali huko ughaibuni,wanaishia kusema yes ,No. i was not there that day...wakati sahihi kwenye makaratasi ni yake.
Umeelewa hoja na swali?
 
Kama unaona Lissu amepotosha umma, panda jukwaani ukaelimishe inavyojua wewe ili watanzania wengi wajue na siyo kumkosoa.
 
Back
Top Bottom