Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
hilo swali ni la kitaalamu sana nduguyangu tundu lissu mwenyewe hataweza kulijibu kwakuwa anaforce kupinga na tayari ameshajichanganya na hakuna mtu mwingine anyeweza kulijibu kwakuwa wengi humu wanabisha lakini siyo wataalamu wa mikataba wanaburuzwa tu
 
Na hii ndo inathibitisha ni kwa namna gani wapinzani wamekuwa wakipotosha kuhusu huu mkataba.

Kwenye hili suala la Bandari watu wamekalia porojo na upotoshaji tu ili kulifanya Taifa letu liachane na miradi ya msingi ili liendelee kuwa nyuma!
 
Hao "wasomi" ndiyo wajinga namba moja na wanaendelea kusomesha ujinga.

Ushahidi kamili tazama wazungu walivyotuchezea kwenye shauri la uchimbaji madini. Wameitumia sheria yetu hiyohiyo mpya iliyotungwa na kina Kabudi na wataalam wa madini kina mhongo na mruma wanatuchapa nayo live, tujione tulivyo wajinga.

Tazama jinsi wanasheria wetu walivyoonesha ujinga wa hali ya juu kwenye ile kesi, ipo mytandaoni, na wameshaambiwa, wangoje siku ya "award" tu. maana yake siku ya ngapi zilipwe. Siyo kuwa kuna shauri tena.
kuna bwana mmoja aliwahi kuwasha red light akadai hii niprofessorial rubbish akabondwa leo bwana huyo anapinga nkuiita hii ni presidental rubbish vipaza mmeamka ila day one mtakuja yazungumzia kama hivi
 
Umeelewa hoja na swali?
Hatutaki maswali kwa upande wetu hawamu hii...maswali ni Matatu tu kwa kutoka kwetu Bandari kwanini mkataba hauna ukomo,Taifa litafaidikankwa kiasi gani na hii bihasshara na kwann mnatumia nguvu nyingi kutetea huu mkataba?
 
Endeleza longolongo.
 
Mleta mada kajinasibu yeye mwanasheria ila mpka hapo ni chai maana kuna mambo huyajui na umeyaandika kama unayajua vile. Dogo kuja na verified id haituhusu sisi ukiamua njoo nayo ukiamua iweke unakoiwekaga.
 
Longolongo pembeni. Jibu swali uzi uko page ya 11 huu
 
Mleta mada kajinasibu yeye mwanasheria ila mpka hapo ni chai maana kuna mambo huyajui na umeyaandika kama unayajua vile. Dogo kuja na verified id haituhusu sisi ukiamua njoo nayo ukiamua iweke unakoiwekaga.
ndiyo utoe hoja nzako kumpinga ili tuone wewe na yeye nani zaidi kuliko kuja kuleta porojo tupu
 
Kuwepo kwa uwazi kwenye mikataba inategemea na makampuni tunayofanya nayo biashara iwapo yanaridhika nao au hapana.

Bomba la gesi alilosaini mkataba hayati JPM, umeshawahi kuuona mkataba wake hadharani?.

Biashara ya manunuzi ya ndege ya cash, umeshawahi kuiona mikataba yake hadharani?

Na kila kitu kinapita huko huko bungeni. JPM aliyeyaona madudu ya JK, na yeye Samia anayashangaa madudu aliyoyacha, mfano ni watu wengi kufungwa bila ya makosa yenye kueleweka na kuishia kutesa familia zisizo na makosa yoyote.

JPM alikuwa anapenda kuonyesha yeye ni bora kuliko JK na hata kuliko Mkapa, alikuwa anapenda sana kuidharau awamu ya Kikwete na alipoingia akataka kubadilisha kila kitu kilichoanzishwa na mtangulizi wake na akayafanya maisha yakawa magumu zaidi.
Mkuu hivi unajua hata mimi na wewe tunaongelea nini ? Let me break it down to you simply...

Point yangu; Hii Mikataba tunapigwa na Kupigwa huku ni Sababu ni Siri na Tutaendelea Kupigwa sababu wanaoingia mikataba wanaweka madudu na sisi hatuwezi kujua
Point Yako: Huo ndio Utaratibu wa nchi na nchi
Point yangu: Mikataba ni Makubaliano na katika makubaliano ni uamuzi wa wanaoingia mkataba na hakuna takwa la kisheria mikataba hio iwe Siri
Point Yako: Kuna wabunge wamechaguliwa kuwaangalia wananchi hao ndio wanawakilisha wananchi
Point Yangu: Umeshaona Mikataba ya inapelekwa Bungeni na kujadiliwa kwa Uwazi
Point Yako: Mkataba wa Bomba la mafuta
Point Yangu: Mikataba ya Bandari Bagamoyo n.k. uliiona; Kama hadi JPM alimshangaa Kiwete kwenye Mikataba....
Point Yako: Hata Samia anamshangaa JPM na JK alimshangaa Mkapa....

Sasa kwa point zako za hapo juu; Huoni kwamba unakubaliana na mimi; kwamba tunapigwa na tutaendelea kupigwa ila unachokadhania kwamba ni utaratibu ni kuendelea na huu USIRI....; Na mimi nakwambia kwamba utaratibu huu ndio kifo chetu
 
ndiyo utoe hoja nzako kumpinga ili tuone wewe na yeye nani zaidi kuliko kuja kuleta porojo tupu
Nilete hoja kwenye porojo umeona wapi asee alichoandika hakijui sasa toka lini mshamba akaambiwa Na hata akiambiwa hawezi elewa
 
Page ya 10 hii bado mnaleta longolongo
Boss kwa vitu unavyoandika nimeamini vipolo vinaathili ubongo kwa maana watu wengi wamekufafanulia hili jambo ila unabaki kudai jibu wasabato mjitahidi kujipunguzia sheria angarau mruhusiwe kula chakula fresh sio vipolo jamani weewe ni mwanasheria waaina gani usiyeelewa wala usiye na maswali yamaana kama niuana sheria kwa maswali hayo hata darasa la tatu c anauweza vizurimsiwage mnaaibisha fani zawatu jamani
 
Endeleza tu longolongo
 
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
Mkuu Lord denning , kwanza asante kwa bandiko hili, pili kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani, na kuzitumia hoja zako za humu kama shamba darasa la kuwafundisha watu humu kuhusu hii IGA.

Mimi na Lissu.
Kwanza nimesoma na TL Ilboru, nikiwa nimemtangulia, mimi nikiwa A level, TL akiwa O Level, mahali pekee tulipokuwa tunakutana na TL ni kwenye School Debate, TL ni mzuri sana kwenye debate, na pia upstairs is bright and brilliant!, nasisitiza TL ni mzuri, bright and brilliant, sheria anazijua but he is not the best!.

Nikiwa mwandishi wa habari, nimemripoti sana TL akiwa Leat. Hapa kati tukappteana, tukaja kukutana Atlanta nchini Marekani, yeye akiwa na yake, na mimi nikiwa na yangu.

Tuliporejea nchini, tukawa tuna interacts kwenye siasa yeye akiwa mbunge na kiongozi wa Chadema, mimi nikiwa mwandishi wa habari wa kujitegemea.

Kwenye hili la DPW, naamini TL anaujua ukweli ila anapotosha kwa makusudi for political mileage!.

Mtu ukiujua ukweli, halafu unapotosha kwa makusudi, hii maana yake ni kuwafanya wengine wote ni wajinga!.

Kwa vile yeye ndiye mwanasheria Mkuu wa Chadema, Chadema waamtegemea sana, wana mwamini sana, na matokeo yake mara kibao, amewaingiza chaka na kuja kuigharimu sana Chadema!.

Kusomea sheria, LL.B, Kuwa na Uwezo Mkubwa wa Kujieleza, na Kuwa Mwanasheria Mzuri, ni vitu viwili tofauti!.

TL ni msomi mzuri wa sheria, ni mzoefu mwenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu, mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza, he is very assertive kwa kutumia hoja za nguvu, (kulazimisha) badala ya kutumia nguvu za hoja!.

Naomba niwape baadhi ya mifano michache ya jinsi TL alivyo toa ushauri mbaya wa kisheria kwa kuishauri Chadema kwenye issues za kisheria, ushauri ambao umeigharimu sana Chadema, kwa kujua au kutojua!.
  1. Issue ya Bunge la Katiba - Serikali ilipoleta muswada wa sheria ya kuanzisha mchakato wa katiba mpya, Chadema kama the main opposition party, kiiliupinga mchakato huo, kwa maneno, TL kama mnadhimu mkuu wa opposition Bungeni, badala ya kuwasisha pingamizi kuuzuia muswada huo usisonge mbele, TL aliwasilisha go ahead yenye tamko tunapinga!, hivyo kuwaingiza chaka Chadema!. Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! that was a mistake
  2. Chadema ina katiba yake, katiba hiyo ilikuwa na kipengele cha ukomo wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka 5, jumla ni miaka 10!, lakini mwaka 2006 ni TL na watu fulani ambao naomba nisiwataje walikinyofoa hicho kipengele, kinyemela bila kufuata utaratibu rasmi wowote wa mabadiliko ya katiba!, Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA
  3. katiba hiyo ina utaratibu wa nidhamu, msimamizi mkuu wa kuhakikisha Chadema inaeshwa kwa mujibu katiba ni TL, lakini yeye ndiye mtu wa mstari wa mbele kutowatendea haki wanachama wao ile 2013, ni TL ndiye aliyesimamia dhulma hii Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  4. Waraka wa Mabadiliko - kuna wengi wanadhani siasa ni blah blah tuu!, lakini ukweli ni kweli kuna siasa za blah blah, uongo, fitna na majungu, na kuna siasa za ukweli ambazo sio blah blah, bali siasa za Sayansi ya siasa, Political Science, ule waraka wa mabadiliko ni waraka wenye hoja za ukweli za siasa za ukweli, but very unfortunately Chadema are too blind to see!, wakaita ni usaliti, na kuwatimua Zitto, Prof. Kitila na Mwigamba, hivyo kumpoteza think tank wa Chadema.
  5. TL ndiye aliyeshadadia sana kumtimua Zitto, TL kama mwanasheria anajua kabisa CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya NKM, lakini Chadema ilimtimua tuu. Nikawapa angalizo Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!" ni kweli karma iliwashughukia!.
  6. Chadema ilijinasibu kuupinga udikiteta kwa kufanya maandamano na mikutano ya hadhara, hoja ya udikiteta sio hoja ya kisiasa ni hoja ya kisheria, hivyo solutions ya udikiteta sio mikutano ya hadhara na maandamano Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
  7. Kuna vitu vinafanywa kisheria, kikanuni na kiutaratibu, moja ya vitu hivyo ni chaguzi mbalimbali , kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EALA, Chadema kilishindwa kufuata taratibu, TL akawashauri Chadema waende mahakamani kupinga uchaguzi ule!, ni mimi ndiye niliye waokoa kwa bandiko hili CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.
  8. Issue ya kina Halima Mdee, ni kama issue ya Zitto, kwa mujibu wa katiba ya Chadema, CC ya Chadema haina mamlaka ya kumtimua Mdee, lakini CC ya Chadema, ikakaa kama a kangaroo court na kuwatimua, kwa sasa kesi iko mahakamani, japo huko mahakamani watashindwa, The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia! cha moto cha karma ya dhulma hii, Chadema watakipata!.
  9. Kiongozi fulani wa Chadema, kafanya jinai, akahifadhiwa mahali , kesi ikaunguruma, Mahakama ikathibitisha uwepo wa prima facie!. Wakajitokeza kina Askofu Makarios wetu, kumuombea msamaha, TL akawagomea!. Tukamshauri Mama asamehe tu hata bila kuombwa msamaha, Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
  10. Mama akasamehe na kuanza vikao vya maridhiano, wakakubaliana kugawana nusu mkate, TL hataki maridhiano, anataka confrontations!, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Hivyo kwenye hili la hii IGA, ni kweli IGA inamatatizo ya kisheria kama walivyo ainisha wanasheria na watu mbalimbali, nikiwemo mimi, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

IGA ni kama barua tuu ya posa, mahari ni HGA, kama mahari ni kumnunua binti, then bandari imeuzwa, lakini kama mahari ni consideration ya kumpata mke, hakuna hata milimita moja ya Bandari yetu iliyouzwa!. Tuyazungumze matatizo ya IGA bila upotoshaji na badala yake tufanye uendeshaji umma ili mwisho wa siku tupate HGA nzuri.
P
 
Mkuu, nenda mbali kdg, una maana gani unaposema hakuna IGA inayoweza kuingiwa kati ya Tz ba Dubai wakati tayari ipo na ndio hii inayoleta kelele zote hizi? Au hiyo iliyosainiwa kwa utaalamu wako inaitwaje? (Kabla hujaibatilisha)
Meaning of IGA ni Inter Governmental Agreement Ukiangalia Dubai sio nchi, na ndio mana mawakili wakawa wanasema kuwa DP world na Dubai haziina capacity ya kuingia kwenye IGA bali UAE ndio wangeweza kufanya hivo.Tanzania ni nchi sasa kivipi uiite IGA mkataba ulioingiwa na party ambae hana capacity to contract? wewe ni mwanasheria unatakiwa uwe umesoma Logic and Reasoning pia Uwe na haiba ya kusoma usiwe kama rolling stone.
 
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
Bado huoni ujuha mkubwa unaokusumbua hapa?

Wewe katika akili zako unaliona hilo jambo kuwa ndilo pekee linalopigiwa kelele kuhusu huo Mkataba, ambao hata nyinyi wenyewe mliukana toka mwanzo kuwa siyo mkataba bali ni makubaliano tu?

Hiyo IGA, siyo 'binding'. Yaliyomo humo hayaathiri chochote kitakachokuwemo huko HGA?

Sikunyingine ukinikaribisha kwenye andiko lako, jitahidi sana liwe la kiwango kinachostahili kujadiliwa, siyo longolongo kama hii uliyoweka hapa.
 
Kiukweli nimeisoma IGA ya Tanzania na Dubai several times, bado najiuliza upotoshaji huu wa akina Lissu, Slaa nk unatokea wapi? Mbona iko straight forward tu kwa mambo mengi. Ni Mkataba tu au kuna issue nyingine? Kwamba IGA hii ina shida kwenye suala la ardhi? Au ukomo? Kwamba IGA iseme DPW italipa fedha kiasi fulani au itaajiri wafanyakazi idadi flani?? Hakika watanzania katika hili la Bandari tumetia aibu duniani. Tunaonekana vilaza wa kutupwa kwa kushindwa kuelewa vitu basic kama hivi.
Utakuwa ulipata elimu ya bure wewe ndio maana huoni kasolo yoyote kwenye hiyo IGA
 
Mkuu Lord denning , kwanza asante kwa bandiko hili, pili kwa ruhusa yako, naomba kulitumia bandiko lako kama mbegu ya kuoteshea bandiko langu fulani, na kuzitumia hoja zako za humu kama shamba darasa la kuwafundisha watu humu kuhusu hii IGA.

Mimi na Lissu.
Kwanza nimesoma na TL Ilboru, nikiwa nimemtangulia, mimi nikiwa A level, TL akiwa O Level, mahali pekee tulipokuwa tunakutana na TL ni kwenye School Debate, TL ni mzuri sana kwenye debate, na pia upstairs is bright and brilliant!, nasisitiza TL ni mzuri, bright and brilliant, sheria anazijua but he is not the best!.

Nikiwa mwandishi wa habari, nimemripoti sana TL akiwa Leat. Hapa kati tukappteana, tukaja kukutana Atlanta nchini Marekani, yeye akiwa na yake, na mimi nikiwa na yangu.

Tuliporejea nchini, tukawa tuna interacts kwenye siasa yeye akiwa mbunge na kiongozi wa Chadema, mimi nikiwa mwandishi wa habari wa kujitegemea.

Kwenye hili la DPW, naamini TL anaujua ukweli ila anapotosha kwa makusudi for political mileage!.

Mtu ukiujua ukweli, halafu unapotosha kwa makusudi, hii maana yake ni kuwafanya wengine wote ni wajinga!.

Kwa vile yeye ndiye mwanasheria Mkuu wa Chadema, Chadema waamtegemea sana, wana mwamini sana, na matokeo yake mara kibao, amewaingiza chaka na kuja kuigharimu sana Chadema!.

Kusomea sheria, LL.B, Kuwa na Uwezo Mkubwa wa Kujieleza, na Kuwa Mwanasheria Mzuri, ni vitu viwili tofauti!.

TL ni msomi mzuri wa sheria, ni mzoefu mwenye long experience ya uzoefu wa muda mrefu, mwenye uwezo mkubwa wa kujieleza, he is very assertive kwa kutumia hoja za nguvu, (kulazimisha) badala ya kutumia nguvu za hoja!.

Naomba niwape baadhi ya mifano michache ya jinsi TL alivyo toa ushauri mbaya wa kisheria kwa kuishauri Chadema kwenye issues za kisheria, ushauri ambao umeigharimu sana Chadema, kwa kujua au kutojua!.
  1. Issue ya Bunge la Katiba - Serikali ilipoleta muswada wa sheria ya kuanzisha mchakato wa katiba mpya, Chadema kama the main opposition party, kiiliupinga mchakato huo, kwa maneno, TL kama mnadhimu mkuu wa opposition Bungeni, badala ya kuwasisha pingamizi kuuzuia muswada huo usisonge mbele, TL aliwasilisha go ahead yenye tamko tunapinga!, hivyo kuwaingiza chaka Chadema!. Katiba: CHADEMA mlikosea! Kubalini yaishe, Tusonge mbele! that was a mistake
  2. Chadema ina katiba yake, katiba hiyo ilikuwa na kipengele cha ukomo wa uongozi ni vipindi viwili vya miaka 5, jumla ni miaka 10!, lakini mwaka 2006 ni TL na watu fulani ambao naomba nisiwataje walikinyofoa hicho kipengele, kinyemela bila kufuata utaratibu rasmi wowote wa mabadiliko ya katiba!, Tundu Lissu kama JPM, ni mtu mkweli. Asema ukweli jinsi ukomo wa uongozi ulivyoyeyuka CHADEMA
  3. katiba hiyo ina utaratibu wa nidhamu, msimamizi mkuu wa kuhakikisha Chadema inaeshwa kwa mujibu katiba ni TL, lakini yeye ndiye mtu wa mstari wa mbele kutowatendea haki wanachama wao ile 2013, ni TL ndiye aliyesimamia dhulma hii Wito: CHADEMA Watendeeni Haki Wanachama Wenu Ili Kuwatendea Haki Watanzania 2015!
  4. Waraka wa Mabadiliko - kuna wengi wanadhani siasa ni blah blah tuu!, lakini ukweli ni kweli kuna siasa za blah blah, uongo, fitna na majungu, na kuna siasa za ukweli ambazo sio blah blah, bali siasa za Sayansi ya siasa, Political Science, ule waraka wa mabadiliko ni waraka wenye hoja za ukweli za siasa za ukweli, but very unfortunately Chadema are too blind to see!, wakaita ni usaliti, na kuwatimua Zitto, Prof. Kitila na Mwigamba, hivyo kumpoteza think tank wa Chadema.
  5. TL ndiye aliyeshadadia sana kumtimua Zitto, TL kama mwanasheria anajua kabisa CC ya Chadema sio mamlaka ya nidhamu ya NKM, lakini Chadema ilimtimua tuu. Nikawapa angalizo Opinion: Kung'atuka Kwa Zitto, CHADEMA, Msishangilie, Mkajisahau, Jiandaeni kwa "Karma!" ni kweli karma iliwashughukia!.
  6. Chadema ilijinasibu kuupinga udikiteta kwa kufanya maandamano na mikutano ya hadhara, hoja ya udikiteta sio hoja ya kisiasa ni hoja ya kisheria, hivyo solutions ya udikiteta sio mikutano ya hadhara na maandamano Hoja ya Udikteta wa Magufuli: Tundu Lissu isn't Right. Haupingwi kwa kupaza sauti kupiga tu Kelele!
  7. Kuna vitu vinafanywa kisheria, kikanuni na kiutaratibu, moja ya vitu hivyo ni chaguzi mbalimbali , kwenye uchaguzi wa Wabunge wa EALA, Chadema kilishindwa kufuata taratibu, TL akawashauri Chadema waende mahakamani kupinga uchaguzi ule!, ni mimi ndiye niliye waokoa kwa bandiko hili CHADEMA Chama cha Ajabu Sana!.Kwenda Mahakamani Kwa Non Issue, Serious Issue ya Katiba ni UKUTA!.
  8. Issue ya kina Halima Mdee, ni kama issue ya Zitto, kwa mujibu wa katiba ya Chadema, CC ya Chadema haina mamlaka ya kumtimua Mdee, lakini CC ya Chadema, ikakaa kama a kangaroo court na kuwatimua, kwa sasa kesi iko mahakamani, japo huko mahakamani watashindwa, The Voices From Within: "Mahakamani Watashindwa Tena!" Sababu ni Mawakili! Jee Tanzania Tuna Mawakili wa Calibre ya Murtaza Lakha?Jitokezeni Kusaidia! cha moto cha karma ya dhulma hii, Chadema watakipata!.
  9. Kiongozi fulani wa Chadema, kafanya jinai, akahifadhiwa mahali , kesi ikaunguruma, Mahakama ikathibitisha uwepo wa prima facie!. Wakajitokeza kina Askofu Makarios wetu, kumuombea msamaha, TL akawagomea!. Tukamshauri Mama asamehe tu hata bila kuombwa msamaha, Watanzania tumshukuru Mungu kupata mtu mwenye moyo wa kusamehe. Je, tumuombe asamehe tu bila kuombwa msamaha au akomae naye?
  10. Mama akasamehe na kuanza vikao vya maridhiano, wakakubaliana kugawana nusu mkate, TL hataki maridhiano, anataka confrontations!, Msikie Tundu Lissu Hapa, Anauliza Kama Wenzake Wana Akili Kweli! Maridhiano Ayaita Ujinga. Je, Lissu Bado ni Asset or Sasa ni A Liability?
Hivyo kwenye hili la hii IGA, ni kweli IGA inamatatizo ya kisheria kama walivyo ainisha wanasheria na watu mbalimbali, nikiwemo mimi, Japo Bunge Limeridhia, DPW Kuendesha Bandari Zetu, ni Makubaliano Tu, Tukithibisha Kuna Matatizo, Tunarekebisha Mkataba wa HGA, Kazi Nzuri Iendelee!

IGA ni kama barua tuu ya posa, mahari ni HGA, kama mahari ni kumnunua binti, then bandari imeuzwa, lakini kama mahari ni consideration ya kumpata mke, hakuna hata milimita moja ya Bandari yetu iliyouzwa!. Tuyazungumze matatizo ya IGA bila upotoshaji na badala yake tufanye uendeshaji umma ili mwisho wa siku tupate HGA nzuri.
P
Nimekupa ruhusa kaka. Endelea tu
 
Back
Top Bottom