Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Tumalize Ubishi: Tundu Lissu nitajie IGA au BIT inayoeleza kutakuwa na HGA alafu bado inayoenesha kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Mama Amon leo unataka kuwa anna tbaijuka? Anawapenda kweli waarabu. Leo naona unahamu nao, unatumwagia mapicha ya mahandsome tu. Si uende pale Kempinski wamejaa saaa hivi mahandsome wa DP World wanamaliza maliza mikataba ya uendeshaji wa bandari. Muda wa IGA bado upo lakini, hawana wasiwasi.

Hivi bado haijatangazwa mikataba ya TPA na DP World?

FaizaFoxy nawe!
Unadhani wanaume wanaovaa hijabu za kike hawajalegezwa mitambo?
Jifunze kusoma barua ikiwa bado kwenye bahasha!
 
Ma shaa Allah unaliona handsome hilo, mpaka roho haikukupa imebidi umlete.

HIjabu ni alama ya ndoa za mitala.
Ndoa za mitala zinapingana na Katika ya Tanzania ibara ya 12(1) inayoongelea usawa wa wanaume na wanamwake
Hivyo, hakuna cha uhandisamu wala nini, watu wenye dhamira ya kusigina Katika yetu wasije kabisa!
 
Ooh mimi bila kuwa na wake wenzangu sikubali.

Una nini wewe? Unataka mwanamme akachepuke?

Au wewe Mziba?

Cc Anna Tibaijuka
 
Endelea kuishi kwa kukariri tu
Huo ndio uhalisia wewe nimuoga mmoja uliyejificha kwenye keybord kama unashida na Tundu yupo mikutanoni kila siku mfuate kwenye mikutano uombe nafasi kuuliza kisha uliza ikiwezekana hapo hapi omba huo mdahalo sio kubwata huku umejificha nyumbani au offisini jitokeze kama kweli umelivulia shati
 
Jibu swali lililopo post namba 1.

99% ya JF hatujuwani, sote tumejificha nyuma ya keyboard, hiyo wala siyo point ya maana.
 
Jibu swali lililopo post namba 1.

99% ya JF hatujuwani, sote tumejificha nyuma ya keyboard, hiyo wala siyo point ya maana.
Hurlain mtarajiwa sikia
Huyu boss lengo lake ni Lissu nahuyu jamaa anajua dhahir shair Lissu yupo mikutanoni kwanini asimfuate huko
Nawe uwe makini utaikosa nafasi yakua hurlain kwasababu yaubishi nakutetea maasi be care
 
Si mumjibie wapambe wa mwehu yule.

Mkutano masaa yote? kuna chadema sasiyepitia humu? Saa hizi kishauona uzi na hana jibu.
 
Si mumjibie wapambe wa mwehu yule.

Mkutano masaa yote? kuna chadema sasiyepitia humu? Saa hizi kishauona uzi na hana jibu.
Ewe hurlain mtarajiwa
Nikueleze sio kila mmoja anahitaji au awaza kuishi kiuoga kama huyu Boss kuna watu hawana mpango wakutafutwa sirini wapo wazi waweza mfuata popote nakumuomba huo mdahalo wenu na akaamua kukubali au kukataa au kukukabidhi watu kama akina Mama Amon upambane nao kwahio usitumie nguvu nyingi kutafuta kilicho wazi
Sikia ewe hurlain
 
Muulize tena ana majibu au anaendeleza tu longolongo?
 
Nimemsikia Lissu akiyasema makubaliano yetu ya Tanzania na Dubai hayaoneshi kiwango cha uwekezaji utakaofanywa na mgawanyo wa mapato, akitumia hiyo kama moja ya sababu ya kuyaponda makubaliano tuliyoingia na Dubai kuhusu masuala ya uwekezaji.

Lissu anasema haya huku nikiwa na uhakika kuwa anapotosha kwa sababu najua kwa hakika kuwa anajua IGA au BIT ikiwa imetoa nafasi ya kuwepo kwa HGA haiwezi kuzungumzia uwekezaji husika na mgawanyo wa mapato kwa kuwa HGA ndo mkataba wa uwekezaji mahsusi ambao ndiyo unaoonesha aina ya uwekezaji, kiwango cha uwekezaji na mgawanyo wa mapato.

Pili najua kuwa amesoma IGA yetu na Dubai na anajua imeeleza katika Ibara ya kwanza sehemu ya pili kuwa Kutakuwa na Mikataba Mahsusi ya Uwekezaji baina ya Tanzania na Dubai ambayo inaeleza haki na wajibu wa kila upande.
View attachment 2701848

Kwa kuwa najua Tundu Lissu yupo humu na nina uhakika atasoma huu uzi. Leo nataka atuambie humu.

Kuna IGA au BIT gani iliyowahi kuingiwa Duniani (POPOTE PALE) ambayo imetoa nafasi ya kuingiwa kwa HGA ( Mkataba mahsusi wa uwekezaji) alafu still ikaonyesha kiwango cha uwekezaji, aina ya uwekezaji na mgawanyo wa mapato?

Ninaweka ahadi apa! Endapo Tundu Lissu atajibu hili swali au mtu yeyote atajibu hili swali kwa ufasaha na kama nilivyouliza basi nitakuja na Verified ID humu.

Ifike kipindi sasa aache kuwadanganya watu kwa kuwa tu hawana uelewa wa mambo!

Tundu Lissu & Co nawasubiri humu.

Angalizo. Muje na Majibu sio longolongo.

Nawasubiri!!
Wewe ulikuwa mpambe wa Tundu Lissu wakati wa kampeni ya uchaguzi mkuu 2020 na ulikuwa ukimtukana sana JPM wakati ni mwanaccm kabisa kindakindaki leo majizi wenzio wako kwenye kiti huku ukiokota makombo yao unajidai kumtia changamoto kichwa chenye IQ 97% brighter? You might be doomed anyway
 
Kum support Tundu Lissu 2020 haimaanishi kuwa akikosea sipaswi kumkosoa.
 
Back
Top Bottom