Tumchangie Lissu 30 Million za Mkutano Mkuu wa CHADEMA

wewe huna tofauti na mke wa fulani naona unampigia chapuo mumeo.
 
Mwambuk Mwambaksa
Madeluka
Mariu
Titus
Watatoa ngapi?
 
Reactions: Tui
Mkuu umewasahau Diaspora, na pia Marian Sarungi na Mange ki Mambi wanahitaji special mentions
 
Mimi nitamchangia Mh. Wenje sh. 100,000/=
 
Mimi nitamchangia Mh. Wenje sh. 100,000/=
Wenje kashatoa sio omba omba.Mchangie kamanda anayetaka kuongoza Chama kwa bla bla.Inasemekana hata Lema kakimbia mchango wa milioni 30.
 
Kabla ya yote Clubhouse wanatoa ngapi??
 
Reactions: Tui
Sasa ndio mtajifunza kuwa ,Umaskini ni laana na uongozi ,inatakiwa mfukoni kuwe kimetulia
 
Reactions: Tui
Hatuhitaji mwenyekiti ambaye hawezi kukinusuru chama kifedha kipindi cha shida
 
Reactions: Tui
Ukiwa na akili timamu suala la kuchangia uchaguzi linahitaji umakini!!

Mgombea anachangiaje!? Hiyo siyo harusi
 
Hii nyamagisisi ndio mnaikabidhi full authority ya chama!
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…