Tumchangie Lissu 30 Million za Mkutano Mkuu wa CHADEMA

Ukiwa na akili timamu suala la kuchangia uchaguzi linahitaji umakini!!

Mgombea anachangiaje!? Hiyo siyo harusi
Hoja mahsusi ni kimchangia Lissu.
 
Reactions: Tui
Acha uhuni chama ni taasisi Ina vyanzo vya mapato

Kuna ruzuku ya mwezi Jan.

Yaani mbowe anachukua hela za chama alafu anazirudisha kama zake??
Huu usanii wa kitoto
 
Sauti ya watazania je πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwani akiwa mwenyekiti hatakuwa na wasaidizi acheni utoto

Uongozi ni teamwork hela za kuendesha chama xitapatikana kukiwa na uwazi na ukweli

Kwani Nyerere mwaka 1954 -;1961 hela ya kuendesha tanu aliipata wapi
 
Acha uhuni chama ni taasisi Ina vyanzo vya mapato

Kuna ruzuku ya mwezi Jan.

Yaani mbowe anachukua hela za chama alafu anazirudisha kama zake??
Huu usanii wa kitoto
Vyanzo vya mapato Chadema ni vipi?Na matumizi ya kuiendesha yanalingana?CAG huwa anakagua mapato na matumizi ya Chama na Chadema haijawahi kupata hati chafu.
Hizo pesa za kuchangia Mkutano Mkuu ziliazimiwa na Kamati Kuu akiwepo Lissu.Unataka kutuaminisha kwamba Kamati Kuu yote haijui mapato na matumizi mpaka iazimie wachange?
Yoy can do better than that.Come on.
 
Click to expand...
Kama vile Sisi walipa Kodi tunaoichangia serekali. inapowajibika kwa kujenga shule tunaambiwa mama katoa hela yake kutusaidia, tumsujudie

Sasa mwenyekiti kachukua ruzuku yote, tunataka kufanya uchaguzi kairudisha alafu anataka tumsujudie
 
Halafu Kuna Wajinga fulani wanasema Mbowe ni Tajiri πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Lisu ni asset mbowe ni liability Lisu hapaswi kutoa ata senti 1 toa namba tudondoshe maokoto
 
Nenda kuzimu ewe fisadi wa Mbowe
 
Lisu ni mbinafsi sana,mtu wa masilahi tu
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…