Tumchangie Lissu 30 Million za Mkutano Mkuu wa CHADEMA

Wanapiga mdomo tu na huyo Lissu wao mpaka anatoa tui la nazi mdomoni mfukoni hana kitu....
 
Reactions: Tui
Chadema siyo kampuni ya kibiashara ni chama cha siasa. Kinachopatikana kinatumika kinakwisha, kwa hoja yako ungeuliza walipata ruzuku kiasi gani na, wametumia kiasi gani, kwenye nini na nini, na wamebaki na kiasi gani.

Chadema inaendeshwa kwa michango ya wanchama, changa usaidie wajumbe waje wale bata mjini.
 
Hizi akili za kina Ngongo ni kama za kina Wenje na Freeman Mbowe mwenyewe...

Ni kuwa zilishahaga chachuliwa na rushwa za Abdul na Mama Abdul...

Yaani uchangie pesa ukampe Freeman Mbowe na genge lake wale...?

Chama kina ruzuku ya takribani 1.7B kwa mwaka. Kinashindwaje kuweka bajeti ya TZS 500,000,000 tu ya mkutano mkuu tena unaoshughulikia ishi nyeti ya uchaguzi unaofanyika mara Moja baada ya miaka mitano..?

Pesa za chama ziko wapi? Tuache ujinga huu wa kutowajibika...

Tuna karibu 150,000,000 tulizochanga kununua gari la Mwenyekiti wetu...

Tungeweza kuzi - divert kiasi kidogo kuchangia huko iwapo kungekuwa na uwazi kwenye mapato na matumizi ya fedha za chama kwa kila mwanachama...

As for now, acheni kutikisa mzinga wa nyuki wakati wa jua Kali nyie kina Ngongo otherwise zotawararua mpaka sura zenu hizo zotakuwa kichekesho....

Freeman Mbowe na genge lake watoe pesa walizoiba miaka yote hii kabla hatujaanza kushusha makombora ya atomic. Msifikiri Tundu Lissu ni mjinga na mpumbavu kama ambavyo mlivyo nyie...
 
Kwahiyo lile jengo la Makao Makuu Mikocheni lilinunuliwa kwa fedha za Babu yako.
 
,,,250mln mbowe katoa wap, zaidi ya zuzuku
 
Y
Chama akina payroll zaidi ya watu 20, ruzuku billions of money Leo after 5 years eti akina pesa za uchaguzi akili ku mkichwa ndo mana Lissu humconvince kuchanga 250 hizo pesa CDM Mbowe aache ujanja ujanja unachukua mfuko wa kulia unatolea mfuko wa kushoto
 
Mshaanza kumpigia mbowe pande. Saccos yake ana hamisha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kabisa mkuu haingii akilini hata kidgo.
 
Mshaanza kumpigia mbowe pande. Saccos yake ana hamisha tu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tatizo watanzania wengi uelewa mdogo, Chama ni Taasisi, na wenye chama ni wanachama ,Kosa la Chadema ni kuanzia muanzilishi Mtei alaitakiwa kujenga chama ki Taasisi sio kikanda wala kikabila, na hapo ndipo TAA to TANu to CCM ilipo washindia wapinzani wawo wamejenga CCM kama Taasisi imara sio chama Cha mtu mtu Fulani na masilihi ya watu bila Tundu lissu CDM ni TLP ,NCCR mageuzi ijayo ni muda wakuketa chama kuwa Taasisi inayomilikiwa na wanachama sio Mtemi Mbowe
 
Mwamba hataki challenge anataka kutoa amri tu sasa kizazi hiki atapata tabu mbele ya LISSU, HECHE LEMA nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…