Tumchangie Lissu 30 Million za Mkutano Mkuu wa CHADEMA


Watu wakisikia shilingi ya kitanzania 1 bilioni zao mauzo ya kadi za kidijitali za chama wanadhani ni nyingi sana zinaweza kuendesha chama kikubwa kama CHADEMA, labda 1 billion in Kenya shillings lakini siyo pesa yetu ya shillingi ya kiTanzania.

Ruzuku ya chama cha siasa CHADEMA shilingi 107 milioni ndiyo pesa ndogo sana.


Sasa kununua gari la Tundu Lissu pamoja na michango bado imeshindikana kufikia 130 milioni apate gari ya kazi za chama, pamoja ya kwamba Tundu Lissu ni popular na amepitia mengi lakini watanzania pamoja na wanachama wa CHADEMA tumeshindwa kukusanya kiasi hicho kidogo.

Kuendesha chama cha siasa siyo mchezo ni mikakati na mbinu za ziada zinahitajika.
 
Hahah anaweza tumia mbinu ovu
Hilo lipo kabisa,ila akitumia mbinu ovyo ni vyema Lissu,Heche na wengine watafute platform nyingine kuwasemea watanzania hii nchi Bado ina space yakuanzisha chama pinzani chenye nguvu kuliko Chadema unahitaji Great thinkers kujua ni kipi kitawaunganisha watanzania Kwa wingi wao I mean bond ,iwe ni labor au youth group uka set agenda vizuri na principles mchana kweupe mnasonga
 
Mbona hiyo deficit ameshaijaza Abdul kwa zile 250m alizolipa Sultan Mbowe ambazo baadae Sultan Mbowe atakidai tena chama . Tuliza kalio
 
Ebu fikiria bunge la 11 Lissu hajawahi kutoa hata ndururu kama mchango kwa chama chake.

Kuongezea michango ya wabunge ipo ndani ya katiba ya chama.
Wacha uongo,michango ya wabunge ilikuwa inakatwa moja kwa moja kwenye mishahara yao,nyumbu wa Sultan mumekuwa waongo kama bwana wenu.
 
Wacha uongo,michango ya wabunge ilikuwa inakatwa moja kwa moja kwenye mishahara yao,nyumbu wa Sultan mumekuwa waongo kama bwana wenu.
Unaweza kunijibu katika lugha ya kistaharabu na tukaelewana.

Ni kweli michango ilikuwa ikikatwa moja kwa moja kutoka mishahara ya wabunge,lakini hali ilibadilika baada ya ujio wa Magufuli ambaye alitaka wabunge wachangie wenyewe.
 
Unaweza kunijibu katika lugha ya kistaharabu na tukaelewana.

Ni kweli michango ilikuwa ikikatwa moja kwa moja kutoka mishahara ya wabunge,lakini hali ilibadilika baada ya ujio wa Magufuli ambaye alitaka wabunge wachangie wenyewe.
Wamachame safari hii mumeyatimba.
 
Wamachame safari hii mumeyatimba.
Huna hoja.Umeuliza swali umejiwa umekimbilia maneno ya mitaani ambayo hata wauza kashata wanauweza wa kuyatamka.

Hoja Magufuli alikuja na mfumo ambao wabunge walikuwa na hiyari ya kuchanga au kutokuchanga Lissu aliamua kikitekeleza chama chake.

Magufuli alifanya hivyo mahususi akijua watakuwemo baadhi ya wabunge ambao wangesusa kuchanga na kupunguza uwezo wa chama kifedha.

Kama uwezo wako wa mnakasha ni hafifu usipende kuuliza maswali ambayo huna uwezo wa kutetea.
 
Malizeni maneno na masimango yote lakini Lissu ndiye mwenyekiti ajaye.
 
"Kama kukusanya mchango milioni 130 kununua gari imechukua zaidi ya miezi 8 ,wakati mbowe ametoa milioni 250 on the spot .je huyo mtu anaweza kufanya operations zitakazohitaji fedha za chap chap?" - NTOBI Mdahalo Star TV.
 
Uhakika mkuu. Upo sahihi
 
Hela ya kwenda kula bata na mama wa kizungu Ubelgiji anayo lakini hizi anataka achangiwe. Hebu acheni upumbavu
 
sijaelewa mantiki ya kusema wajumbe wachange, badala ya kusema raia wachange. mbowe kaweka mtego ili ionekane lisu hana hela kama alivyomtangaza.
 
Taja matumizi ya pesa CDM
Hela ya kwenda kula bata na mama wa kizungu Ubelgiji anayo lakini hizi anataka achangiwe. Hebu acheni upumbavu
Wewe ni msukule tu, you should pull your Head from your ass hole uweze kuwaza vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…