Chama hakina vipaumbele vyake muhimu?
Kama wanapata ruzuku walishindwa vipi kuweka akiba ya kufanyia uchaguzi ?
Wajumbe wa mkutano mkuu wanahitaji nauli , wanahitaji kula , n.k
Na uchaguzi huwa unafanyika kila baada ya miaka 05.
Mbowe inatosha sasa
Kuna kila sababu ya kufikiria hili jambo pia .
Watu wakisikia shilingi ya kitanzania 1 bilioni zao mauzo ya kadi za kidijitali za chama wanadhani ni nyingi sana zinaweza kuendesha chama kikubwa kama CHADEMA, labda 1 billion in Kenya shillings lakini siyo pesa yetu ya shillingi ya kiTanzania.
Ruzuku ya chama cha siasa CHADEMA shilingi 107 milioni ndiyo pesa ndogo sana.
Sasa kununua gari la Tundu Lissu pamoja na michango bado imeshindikana kufikia 130 milioni apate gari ya kazi za chama, pamoja ya kwamba Tundu Lissu ni popular na amepitia mengi lakini watanzania pamoja na wanachama wa CHADEMA tumeshindwa kukusanya kiasi hicho kidogo.
Kuendesha chama cha siasa siyo mchezo ni mikakati na mbinu za ziada zinahitajika.