Tumchangie Lissu 30 Million za Mkutano Mkuu wa CHADEMA

Heshima sana wanajamvi.

CDM wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.

Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.

Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.

Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.

Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.

Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.

1. DR Ngongo 150,000
2. Club House ?
3. Wanasheria ?
4. Dr Slaa ?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Ovyooo kabisaaa Huyo Lissu sio Muungwana kabisaaa,he isn't deserving any leadership position ,hafaii kabisa
 
Lissu ameomba watu wamchangie ?
Kama mpaka leo hajatoa hata ndururu,na utambue hayo ni maagizo/maazimio ya Kamati Kuu unafikiri Lissu atajiweka katika nafasi gani ?.

Ebu tumia akili kidogo.Baba yako akiugua na hana bima wala fedha utasubiri hadi akuombe.

Nia na madhumuni ya bandiko hili ni kumwondolea aibu Kamanda Lissu.Fikiri kidogo kwa nafasi yake ya Makamu Mwenyekiti atakaa meza kuu atawekewa maji ya kunywa ambayo hajatoa hata ndururu.Hii si sawa hata kidogo kama tunampenda tumchangie.
 
Heshima sana wanajamvi.

CDM wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.

Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.

Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.

Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.

Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.

Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.

1. DR Ngongo 150,000
2. Club House ?
3. Wanasheria ?
4. Dr Slaa ?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Dr. Nilitaraji upandishe hapa risiti uliyochangia japo 1m,kumbe tena unawananga wengine anza kwa mfano ari tunayo,nia tunayo,na Kwa uwezo wa Mungu nguvu tutapata za kutosha hadi kusaza.
 
Mbowe amechangia 250M,kuwasafirisha wajumbe wote kutoka Mikoani na kuwalaza pale Johari Rotana Hotel-bado tunatarajia Lissu ashinde.wonders shall never ends!
 
Ndio maana tunahimiza michango kwa Kamanda wetu Lissu.
 
Ruzuku haitoshi Mgosi.Toa mchango.
Ruzuku imenunua jengo la Chama Mikocheni.Wacheni bla bla mchangieni kamanda.Mlifikiri kuendesha Chama bila nguvu za pesa ni lelemama.
 
Ebu fikiria bunge la 11 Lissu hajawahi kutoa hata ndururu kama mchango kwa chama chake.

Kuongezea michango ya wabunge ipo ndani ya katiba ya chama.
Mchango asitoe tu sasa zilichangwa zaidi ya 3 Billion tokea 2015-2020 maana wabunge 70+ wanachanga 1M kwa majimbo na 0.5M kwa viti maalum kwa mwezi ilipatikana roughly 52M sasa kwa miaka mitano ni zaidi ya 3 Billion eti kwa ajili ya campaign za 2020 ila cha ajabu wote tuliona uchaguzi wa 2020 hata bajeti tu ya media na mabango hamna!!

Let alone ruzuku ni 21 Billion miaka 5 yaani 2015-2020. Sasa kama mabilion yote hayo tulishindwa kujenga ofisi, kudhamini campaign au kuweka vitega uchumi ni udhaifu mkubwa.

Kwamba chama kinategemea fedha binafsi za Mbowe wakati kilikua kinaingiza mabilioni? It's not sustainable kabisa na hapo ukute anapewa hela kama mwenyekiti ila anaigeuza ni yake binafsi
 
Ovyooo kabisaaa Huyo Lissu sio Muungwana kabisaaa,he isn't deserving any leadership position ,hafaii kabisa
Ni kweli angejitahidi kutoa hata kiasi kidogo tu ingesaidia sana.

Nimewapigia simu watu kadhaa wengi wanauliza kwani yeye katoa kiasi gani.
 
  • Kicheko
Reactions: Tui
Mchango asitoe tu sasa zilichangwa zaidi ya 3 Billion tokea 2015-2020 maana wabunge 70+ wanachanga 1M kwa majimbo na 0.5M kwa viti maalum kwa mwezi ilipatikana roughly 52M sasa kwa miaka mitano ni zaidi ya 3 Billion eti kwa ajili ya campaign za 2020 ila cha ajabu wote tuliona uchaguzi wa 2020 hata bajeti tu ya media na mabango hamna!!

Let alone ruzuku ni 21 Billion miaka 5 yaani 2015-2020. Sasa kama mabilion yote hayo tulishindwa kujenga ofisi, kudhamini campaign au kuweka vitega uchumi ni udhaifu mkubwa.

Kwamba chama kinategemea fedha binafsi za Mbowe wakati kilikua kinaingiza mabilioni? It's not sustainable kabisa na hapo ukute anapewa hela kama mwenyekiti ila anaigeuza ni yake binafsi
Unahamisha magoli.Mada ni Lisu kushindwa kutoa mchango wake wa milioni 30.
Hili ulilolileta CAG huwa anakagua mahesabu ya Chadema na kila mwaka wamekuwa wakipata hati safi ya matumizi na mapato.
Kamanda kama hawezi kutoa hata mchango wake na inabidi achangiwe gari na hizo milioni 30 huoni kuna hatari akafanya Chadema iwe mradi wake.Just thinking loudly.
 
Bwashee bandiko reeeefu sana ebu toa mchango wako kwa Kamanda Lissu hali ni tete sana.
Fikiria atakula,atakunywa na atalipwa posho za kikao wakati hajatoa ndururu.
 
  • Thanks
Reactions: Tui
Heshima sana wanajamvi.

CDM wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.

Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.

Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.

Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.

Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.

Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.

1. DR Ngongo 150,000
2. Club House ?
3. Wanasheria ?
4. Dr Slaa ?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Mimi nafikiri angejikopesha 30 mil kutoka katika mchango wa gari ambazo wadau wangemridishia ili azibe pengo. Hizo pesa angeikopesha CDM. Lakini inawezekana hajatoa kwa sababu hakubaliani na wazo hilo.

Amandla...
 
Heshima sana wanajamvi.

CDM wanatakuwa na kikao cha mkutano mkuu kwaajili ya kuchagua viongozi wakuu wa kitaifa.

Nafahamu zipo nafasi nyingi zitakazo gombewa ila nafasi ya Mwenyekiti wa Taifa ndio habari ya mjini.

Budget za mkutano mkuu ni kubwa sana chama kama chama wana kiasi cha Tsh 300 million.

Kuna upungufu wa Tsh 400 million.Wajumbe wote wa Kamati kuu wamepewa jukumu la kuchangia chama kila mmoja kwa uwiano wake.Kamanda Lissu kapewa jukumu la kuchangia chama Tsh 30 Million.Kamanda Mbowe kapewa jukumu la kuchangia 50 Million tayari kashatoa 250 Million.

Kwakuwa Kamanda Lissu mpaka sasa kashindwa kutoa hata Tsh 1,000 hali hii inamweka mahali pagumu sana.Hata wajumbe wanaotarajia kumpigia kura watalipwa posho na fedha za Mbowe.

Badala ya kushinda hapa JF kumsifu sifu tuanze kumchangia sasa.

1. DR Ngongo 150,000
2. Club House ?
3. Wanasheria ?
4. Dr Slaa ?
5. Mch Msigwa?
6.
7.
8.
Ngongo kwasasa Nyama Choma Makonda.
Tusichangie, hela za Abdul alizopewa Mbowe na Wenje zinatosha kusimamia show.
 
Unahamisha magoli.Mada ni Lisu kushindwa kutoa mchango wake wa milioni 30.
Hili ulilolileta CAG huwa anakagua mahesabu ya Chadema na kila mwaka wamekuwa wakipata hati safi ya matumizi na mapato.
Kamanda kama hawezi kutoa hata mchango wake na inabidi achangiwe gari na hizo milioni 30 huoni kuna hatari akafanya Chadema iwe mradi wake.Just thinking loudly.
Kuna tatizo, kwamba Ruzuku ya Billion 21 iishie kulipana posho na mishahara bila kuanzisha mradi wowote? Kwani CAG anakataza kulipana posho kubwa?

Issue sio wizi ili matumizi mabovu ya fedha, unakuta hata gari la million 60 linaletewa invoice ya million 300!! Hapo CAG atapindua nini? In fact aliwahi sema kuna watu wanaagiza magari binafsi kwa pesa ya chama!!

Ni aibu chama kutegemea michango wakati kilipokea 21 B za Ruzuku miaka 5
 
Michango yake ya ubunge kwa chama hakutoa ndururu.

Hivi huyu mpayukaji akipewa nchi Hispitals,Schools,Colleges........Watapata mgao wa hela kweli ?.
Wewe msenge unayemkandia lisu pale kwenye list ndio umejiweka namba moja kama vile unakatwa na wahuni.
 
MIMI NAUMIA MIMI MNAZIDI KUWATAJILISHA MATAJIRI HIVI KWELI PESA ZENU HAZINA PA KWENDA?
 
Back
Top Bottom