Yeye kasema waliuawa na vyombo vya usalama, kama wewe unamfahamu muandamanaji aliyeua kwa silaha za moto mtaje.Kwan hujasikia wamesema kuna baadhi waandamanaji walikuwa na silaha za moto.
Nadhani hao ni wale ambao maiti zilipatikana na ndugu zao kuzipata ni ngumu tume kusema habari ya maiti zilizo potezwa na serikali..huu ni ushshidi kuwa zaidi ya watu elfu 6000 wameuliwa....dar peke yake nadhani ni watu zaidi ya 1500Nilijua kutakuwa na huu upuuzi. Vifo 518 really?
Kwani 500 kwako ni wachache hata kama wangesema aliuawa mmoja lazima wawajibike.Nilijua kutakuwa na huu upuuzi. Vifo 518 really?
Sio wachache lakini wangeweka idadi kamili huku mitaani tumeshuhudia maiti nyingi na misiba mingi iliyotokana na huo uchaguzi haramu.Kwani 500 kwako ni wachache hata kama wangesema aliuawa mmoja lazima wawajibike.
Kwa nchi nzima bado idadi wamechakachua..!!Nadhani hao ni wale ambao maiti zilipatikana na ndugu zao kuzipata ni ngumu tume kusema habari ya maiti zilizo potezwa na serikali..huu ni ushshidi kuwa zaidi ya watu elfu 6000 wameuliwa dar peke uake nadhani ni watu zaidi ya 1500
Jaji chande ni hazina ya kipekee sana TanzaniaVingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebreni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za umoja wa mataifa.
Nendeni mkatubu, pamoja na kupunguza idadi bado atawajika tu hata hizo roho 500 sio chache.Jaji chande ni hazina ya kipekee sana Tanzania
peleka huko ushirikina wako nonsense gentlemanNendeni mkatubu, pamoja na kupunguza idadi bado atawajika tu hata hizo roho 500 sio chache.
Hata kama ndo hao walizikwa wapi?Vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebreni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za umoja wa mataifa.