kimbendengu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 8,394
- 16,128
CHANDE ANASEMA TUITE MAKUNDI YA DINI ,SWALI KULIKUWA NA VITA YA KIDINI?
Mkuu msikubali kuingia kwenye mtego wa watu mia tano. Yes ni wengi sana, lakini wamefanya hivyo ili kutuliza jumuia za kimataifa na kuto-attract attention zaidi. Yaani vifo ni vingi kiasi ambacho idadi kamili ingewekwa hadharani Samia angefia jela. Knachotakiwa ni kudai uchunguzi huru... na siyo kukubali kuingizwa kwenye huu mtegoWanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebuleni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za kimataifa.
Sheria ya jeshi la polisi inaruhusu askari kubeba silaha lakini kutumia hiyo silaha kuna mwongozo wake sio kila tukio lazima silaha itumike.
Kwa mujibu wa shahidi kutoka Mwanza tume iliambiwa askari polisi waliwapiga risasi vijana 13 waliokuwa kwenye kibanda cha kuonyesha mpira.
Jumuiya za kimataifa zinajua huu ni uongo.Mkuu msikubali kuingia kwenye mtego wa watu mia tano. Yes ni wengi sana, lakini wamefanya hivyo ili kutuliza jumuia za kimataifa na kuto-attract attention zaidi. Yaani vifo ni vingi kiasi ambacho idadi kamili ingewekwa hadharani Samia angefia jela. Knachotakiwa ni kudai uchunguzi huru... na siyo kukubali kuingizwa kwenye huu mtego
Yupo ikulu mpaka 2030 Mungu akipenda endeleeni kuchanganyikiwa hakuna wa kuwasaidia.Kahaba hakubaliki hata ndani ya ccm ...ni swala la logic tu ukweli na mwisho wake mbaya unakwenda kumfika ..shika haya maneno yangu.
Hitler aliitawala ujerumani kwa mabavu kama Samia kwa miaka 12 siku yake ilipofika alijuta kuzaliwa yeye na wapambe wake kama wewe.Yupo ikulu mpaka 2030 Mungu akipenda endeleeni kuchanganyikiwa hakuna wa kuwasaidia.
Mwaka wa 12 wa Samia haujafika bado, tuwe wapole anaendelea kutimiza aliyoahidi kwenye ilani.Hitler aliitawala ujerumani kwa mabavu kama Samia kwa miaka 12 siku yake ilipofika alijuta kuzaliwa yeye na wapambe wake kama wewe.
Jumuiya za kimataifa zinajua huu ni uongo.
wamama wa wadau wa JF hawahusiki na empty head yako gentleman plzEndelea kunyonya kwa mama yako, siku mfumo ukikutema tutakukabidhi maiki!