Naona humsikilizi vizuri huyo anayekushibisha wewe nguruwe kwa masalia yake; maanake ungemsikiliza vizuri wakati huu ungetambua hali ngumu inayomkabili..Kelele zenu za chura hamzimzuii tembo kukata kiu, utaendelea kuota mvi kichwani huku ukilialia humu JF.
Hivi unazo akili timamu, au umechanganyikiwa?Hakuna aliyeshika bunduki na kupiga watu ambaye alikuwa raia wa kigeni, vijana wa humu humu nchini.
Mpango wenu wa kishenzi wa kutaka kuipindua nchi kwa kigezo cha maandamano ya vijana ulishindwa kitaalam.
Wale askari wote vijana wa kitanzania hayupo hata mmoja aliyekodiwa.Hivi unazo akili timamu, au umechanganyikiwa?
Hapo juu ulisema nini na hapa unasema kitu gani?
Samia alipoanza kulalamikia watu toka nje, masikio yako yalikuwa umejaza masalia ya chakula?
Ungekuwa unazifahamu sheria za kimataifa ungekaa kimya, SSH hana kesi yoyote ya kujibu mahali popote.Naona humsikilizi vizuri huyo anayekushibisha wewe nguruwe kwa masalia yake; maanake ungemsikiliza vizuri wakati huu ungetambua hali ngumu inayomkabili..
Hiyo ripoti ya mchongo ndiyo imekuja kupigilia msumari wa moto kabisa; lakini nguruwe huwezi kulijuwa hili.
Unachojuwa ni kupigania masalia tu ya chakula.
Tusiishie hapo tujue nani kawaua na nani alitoa amri ya hao kuuawa.Hayo ndio madhara ya matumizi mabaya ya mitandao.
Ona sasa mabandiko ya watu yamegharimu maisha ya watu bure.
Kabla ya kufuata watu tuwafahamu kwanza wao ni kina nani na wana malengo gani.
Wewe ni nguruwe tu, shida yako inajulikana.Ungekuwa unazifahamu sheria za kimataifa ungekaa kimya, SSH hana kesi yoyote ya kujibu mahali popote.
Mlileta uhuni mkakutana na uhuni wa hali ya juu kuuzidi ule wenu. Huyo Heche anajaribu kuitetea CHADEMA kwa kuitwisha CCM jumba bovu lakini moyo wake unadunda baada ya wahusika kumwambia uwezekano wa ICC kuanza na yeye pamoja na Lissu watakapofika hapa nchini.
Naona umechanganyikiwa na akili. Unaandika vitu visivyokuwepo, sijui unawaza nini tena!Wale askari wote vijana wa kitanzania hayupo hata mmoja aliyekodiwa.
Mbona pigo la Samia na wahuni wenzie la kutisha ni ndani ya nchi siyo kimataifa ...Ungekuwa unazifahamu sheria za kimataifa ungekaa kimya, SSH hana kesi yoyote ya kujibu mahali popote.
Mlileta uhuni mkakutana na uhuni wa hali ya juu kuuzidi ule wenu. Huyo Heche anajaribu kuitetea CHADEMA kwa kuitwisha CCM jumba bovu lakini moyo wake unadunda baada ya wahusika kumwambia uwezekano wa ICC kuanza na yeye pamoja na Lissu watakapofika hapa nchini.
Wewe ulihesabu maiti ngapi?Sio wachache lakini wangeweka idadi kamili huku mitaani tumeshuhudia maiti nyingi na misiba mingi iliyotokana na huo uchaguzi haramu.
Wewe ulihesabu maiti ngapi?Sio wachache lakini wangeweka idadi kamili huku mitaani tumeshuhudia maiti nyingi na misiba mingi iliyotokana na huo uchaguzi haramu.
Muandamanaji mwenye bunduki na mabomu unamdhibiti vipi?Binafsi naona kama tume imemuangushia jumba bovu.
Si ndiyo maana kesi imesimama,msala mpya,heche nae Kuna clip anasema uchaguzi hautofanyika,kifinyo kinafuataLissu naye haponi hapa kwa kauli zake za kitanuka kasababisha raia waingie road na silaha za jadi na kuanza kuuana na polisi!!
Rais SSH alizima mapinduzi haramu yaliyoandaliwa na wanasiasa wa nchi hii wanaotaka kutunishiana ubavu na Chama kinachotawala.Mbona pigo la Samia na wahuni wenzie la kutisha ni ndani ya nchi siyo kimataifa ...
Tafuta uelewa wa masuala ya sheria za kimataifa wengi wetu hatuelewi kwanini tume iliundwa na Rais mwenyewe.Naona umechanganyikiwa na akili. Unaandika vitu visivyokuwepo, sijui unawaza nini tena!
Hiyo ripoti FEKI ni kama mmewasha moto upya kabisa.
Badala ya mategemeo ya kuwasafisha mnazidi kuonekana mlivyo wachafu; mlioloa damu ya waTanzania.
SSH siyo Rais halali kwa awamu zote ...ni mmoja wapo wa mahaini dhidi ya kifo cha JPM ..na kwenye hii awamu hakuna aliye mchagua kajiweka madarakani yeye na wahuni wenzie ...hata mikoa yenye waislamu wenzie walimkataa kwa kugomea uchaguzi ..ndiyo maana hakuna video hata moja ya wapiga kura kwenye vituo wakiwa wamejipanga foleni kupiga kura ...Rais SSH alizima mapinduzi haramu yaliyoandaliwa na wanasiasa wa nchi hii wanaotaka kutunishiana ubavu na Chama kinachotawala.
Huo ni msimamo wenu CHADEMA mna haki kuwa nao lakini wenye madaraka CCM wana msimamo wao tofauti na huo wa kwenu.SSH siyo Rais halali kwa awamu zote ...ni mmoja wapo wa mahaini dhidi ya kifo cha JPM ..na kwenye hii awamu hakuna aliye mchagua kajiweka madarakani yeye na wahuni wenzie ...hata mikoa yenye waislamu wenzie walimkataa kwa kugomea uchaguzi ..ndiyo maana hakuna video hata moja ya wapiga kura kwenye vituo wakiwa wamejipanga foleni kupiga kura ...
Kahaba hakubaliki hata ndani ya ccm ...ni swala la logic tu ukweli na mwisho wake mbaya unakwenda kumfika ..shika haya maneno yangu.Huo ni msimamo wenu CHADEMA mna haki kuwa nao lakini wenye madaraka CCM wana msimamo wao tofauti na huo wa kwenu.
Endeleeni tu kususia masuala ya siasa kuna vyama 18 vipo hai vitaendelea na siasa za nchi kama vile nyinyi hampo.
Video za wapiga kura hazina maana yoyote cha muhimu tuliamka mapema asubuhi tukapiga kura, hayo machungu yenu endeleeni kuishi nayo ndani ya mioyo yenu.
Weka picha ya muandamanaji mwenye bunduki, acha kumeza kila kitu bila kutumia akili.Muandamanaji mwenye bunduki na mabomu unamdhibiti vipi?
Kama kuna vyama 18 kwanini unakesha kuijadili Chadema sijawahi kuona umeanzisha uzi wa NLD au DP hata siku moja.Huo ni msimamo wenu CHADEMA mna haki kuwa nao lakini wenye madaraka CCM wana msimamo wao tofauti na huo wa kwenu.
Endeleeni tu kususia masuala ya siasa kuna vyama 18 vipo hai vitaendelea na siasa za nchi kama vile nyinyi hampo.
Video za wapiga kura hazina maana yoyote cha muhimu tuliamka mapema asubuhi tukapiga kura, hayo machungu yenu endeleeni kuishi nayo ndani ya mioyo yenu.