Hii inabidi utamke kwa uangalifu sana.kaburi la halaiki ni story feki.
Hii inabidi utamke kwa uangalifu sana.
Watu ambao hawajapatikana na walionekana wameuwawa mbele ya ndugu zao maiti zimepotelea wapi?
Goba jirani yetu tumezika nguo, alipigwa risasi ubongo ukamwagika mbele ya mdogo wake.
Kama hujui bora unyamaze.
Hao wachache walizikwa wapi?Vifo ni vifo. Wapumzike kwa amani.
Mtu yeyote timamu alijua idadi ya 10k plus haikua na uhalisia na kaburi la halaiki ni story feki. Hii sio kumtetea Hangaya bali ndo uhalisia. Hatua ichukuliwe kwa hata kama mtu mmoja tu alipoteza maisha.
Nimekuambia uongelee Jambo hilo kwa uangalifu.Wewe unauthibitisho wa uwepo wa hilo kaburi?
Hao wachache walizikwa wapi?
Unajua maana ya "coup d'état" kweli?Ilikuwa Coup D'etat iliyozuiliwa, hizi kelele zinasikika baada ya jaribio hilo kushindwa kufanikiwa.
Yaan aliposema tu hii tume ni ya rais nikaona kwishaUnapojadili idadi ya vifo usisahau kuwa Ile ni tume ya Rais na hapo hzo taarifa wame edit
Hao waliozika nguo na waliozika yeboyebo miili yao iko wapi au Samia ni cannibal amewala nyama?Wewe unauthibitisho wa uwepo wa hilo kaburi?
Yaani mauwaji wafanye wao na Tume yenye kila aina ya sources za taarifa na support ya serikali washindwe kujua data sahihi za vifo?, hivi huwa mnawaza kwa kutumia akili gani?, hiyo ni Tume iliyo chini ya Serikali kuu toka kwa rais kumbuka hilo na sio Tume ya mtu binafsi ambaye hawezi kupata nafasi ya kuingilia baadhi ya mifumo .Anaweza kuwa sawa kwa mujibu wa takwimu walizopata, hizo takwimu nyingine ulizonazo mkuu ni za kwako sio walizopokea wao.
Endelea kunyonya kwa mama yako, siku mfumo ukikutema tutakukabidhi maiki!sure,
hata mimi ni hazina ya taifa kwa baadae right?
Kuna mtu anayejua basi?Sijui. Wewe unajua walipozikwa?
Kuna list ya waliopotea ni maelfu kwa maelfu. Kama hujapoteza mtu wewe una bahati. List ni ndefu, wewe chawa haikuhusu.Kama kuna watu wanasema kuna zaidi ya hao, hasa wanaharakati uchwara, ambao walikuwa na miezi zaidi ya 6 kuweka hata mtandao ambao watu wanakuja kuandika majina ya ndugu na jamaa waliopotea kipindi cha tarehe 29 mpaka 31, kwanini wameshindwa kufanya hivyo?
Badala ya kulalamika hio idadi ni ya uwongo?
Waliopotea ni watu 7000.Report inasemaje kuhusu nani aliwaua na kwa amri ya nani? mauaji 500 lazima wauaji wanajulikana watuambie kesi ianze na majina ya waliopotea 700 wayaweke wazi
Huyo jamaa angekuwa muhuni iko siku angeku. baka.Lissu naye haponi hapa kwa kauli zake za kitanuka kasababisha raia waingie road na silaha za jadi na kuanza kuuana na polisi!!
Idadi ya mchongo. Alipenda sana kuwaita wanyonge na nyie mnakenua tu huku yeye anapiga pesa. Ila huyu ni kiboko kabisa. Anawapiga live huku anawachambaHayati mheshimiwa aliyekuwa wizara ya wanaoumwa alikuwa na idadi kamili na huenda taarifa alizokuwa nazo ndizo zilizomharakisha kwenda kuzimu.