PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kama watu wanaweza kufungua mitandao ya kutukana serikali wanashindwa vipi kufungua mitandao ya kukusanya rekodi ya watu wote waliouwa au kupotea wakati wa fujo.
Mtandao gani umefunguliwa wa kutukana serikali?
 
Tume FEKI imelizungumzia hili pia?

Samia, ambaye ni muasisi wa nadharia hiyo hasikiki tena tena akiitetea.

Hebu sasa wewe tueleze, kati ya hao waliouliwa walikuwa ni watu wa nchi zingine na siyo waTanzania.

Hii dharau yenu juu ya waTanzania sasa ndiyo inayokuja kuwamaliza!
Hakuna aliyeshika bunduki na kupiga watu ambaye alikuwa raia wa kigeni, vijana wa humu humu nchini.

Mpango wenu wa kishenzi wa kutaka kuipindua nchi kwa kigezo cha maandamano ya vijana ulishindwa kitaalam.
 
Mapinduzi halisi ndiyo kwanza yanaanza. Hakikisha masalia unayopata toka mezani kwa Samia umeyaandaa vizuri kuhudumia wanao; maanake hayatakuwepo tena.

Huu usanii wa hiyo tume ulifikiri ndiyo itakuwa kinga kwenu?
Kelele zenu za chura hamzimzuii tembo kukata kiu, utaendelea kuota mvi kichwani huku ukilialia humu JF.
 
Hakuna aliyeshika bunduki na kupiga watu ambaye alikuwa raia wa kigeni, vijana wa humu humu nchini.
Raia wa humu humu ndio walioshika bunduki kuua.
HGlJqk-XwAA5q86.jpeg
HGlJqk_X0AAyKy_.jpeg
 
Vifo ni vifo. Wapumzike kwa amani.

Mtu yeyote timamu alijua idadi ya 10k plus haikua na uhalisia na kaburi la halaiki ni story feki. Hii sio kumtete Hangaya bali ndo uhalisia. Hatua ichukuliwe kwa hata kama mtu mmoja tu alipoteza maisha.
 
Vifo ni vifo. Wapumzike kwa amani.

Mtu yeyote timamu alijua idadi ya 10k plus haikua na uhalisia na kaburi la halaiki ni story feki. Hii sio kumtetea Hangaya bali ndo uhalisia. Hatua ichukuliwe kwa hata kama mtu mmoja tu alipoteza maisha.
 
Vifo ni vifo. Wapumzike kwa amani.

Mtu yeyote timamu alijua idadi ya 10k plus haikua na uhalisia na kaburi la halaiki ni story feki. Hii sio kumtete Hangaya bali ndo uhalisia. Hatua ichukuliwe kwa hata kama mtu mmoja tu alipoteza maisha.
Waruhusu wachunguzi huru kwa sababu siyo tuhuma ndogo.
 
Back
Top Bottom