Acha mbaambaa na miherufi mikubwa. kuna listi ndio nini ?Kuna list ya waliopotea ni maelfu kwa maelfu. Kama hujapoteza mtu wewe una bahati. List ni ndefu, wewe chawa haikuhusu.
Weka hapa hio listi, nyumbu kama nyinyi huwa mnafata mkumbo
Acha mbaambaa na miherufi mikubwa. kuna listi ndio nini ?Kuna list ya waliopotea ni maelfu kwa maelfu. Kama hujapoteza mtu wewe una bahati. List ni ndefu, wewe chawa haikuhusu.
Makende wewe bado unamsafisha Samia muuaji, list hahitajiki kila kitu kiko documented with high definition mpaka nuktaAcha mbaambaa na miherufi mikubwa. kuna listi ndio nini ?
Weka hapa hio listi, nyumbu kama nyinyi huwa mnafata mkumbo
Ndigili nyinyi nyumbu mambulula mnafata tu mkumbo, weka hio listi acha upuuzi wenu wa listi iko , mkiulizwa iko wapi mnaanza mbaa mbaa, au bado mnasubiri ICC, mtasubiri mpaka uzeeniMakende wewe bado unamsafisha Samia muuaji, list hahitajiki kila kitu kiko documented with high definition mpaka nukta
Report ya kipumbavu imeshindwa hata kumtaja Mafwele na genge lake kwani wao ndiyo moja ya sababu kubwa za watu kuwa na hasira na mfumo wa ukandamizaji na kitesaji.Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebuleni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za kimataifa.
Sheria ya jeshi la polisi inaruhusu askari kubeba silaha lakini kutumia hiyo silaha kuna mwongozo wake sio kila tukio lazima silaha itumike.
Kwa mujibu wa shahidi kutoka Mwanza tume iliambiwa askari polisi waliwapiga risasi vijana 13 waliokuwa kwenye kibanda cha kuonyesha mpira.
Kaa na ufala wako, hata wauaji wameanza kukiri, hata iddi Amin alivyokimbizwa kuna chawa wake kama wewe na Lucas Msandambwa waliamua kujinyongaNdigili nyinyi nyumbu mambulula mnafata tu mkumbo, weka hio listi acha upuuzi wenu wa listi iko , mkiulizwa iko wapi mnaanza mbaa mbaa, au bado mnasubiri ICC, mtasubiri mpaka uzeeni
Mwanzo mlisema hajaua leo kakiri kaua kidogo tu 😀😀😀, ICC ipo hata wewe ukifa itakuwepo tu kwanza huna faida yeyote, inaendelea na majukumu yake.Ndigili nyinyi nyumbu mambulula mnafata tu mkumbo, weka hio listi acha upuuzi wenu wa listi iko , mkiulizwa iko wapi mnaanza mbaa mbaa, au bado mnasubiri ICC, mtasubiri mpaka uzeeni
Ndio ambacho serikali ilizima siku ile baada ya vijana waliovaa jeans kuingia mitaani wakiwa kwenye zile cruisier zenye tinted windows.Unajua maana ya "coup d'état" kweli?
Mlitaka kufanya mapinduzi kwa kutumia mwanya wa serikali kujikita kwenye uchaguzi siku ile, serikali ilipojipanga vyema ujanja wenu ukashughulikiwa ipasavyo.Unajua maana ya "coup d'état" kweli?
Tatizo mlijazwa ujinga mkaipokea tume na kazi yake kwa maoni hasi kabisa. Tume ilipita mitaani mkaanza kuipinga katika kila ilichokifanya.Kuna list ya waliopotea ni maelfu kwa maelfu. Kama hujapoteza mtu wewe una bahati. List ni ndefu, wewe chawa haikuhusu.
Hayakuwa maaandamano halali hayakuzingatia ibara ya 18 na 20 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano, zilikuwa vurugu za wahuni, lilikuwa jaribio haramu la kutaka kupindua nchi.Report ya kipumbavu imeshindwa hata kumtaja Mafwele na genge lake kwani wao ndiyo moja ya sababu kubwa za watu kuwa na hasira na mfumo wa ukandamizaji na kitesaji.
Report imeshindwa kumtaja Samia aliyekiri hadharani huku akitetea kuwa mauaji yale zilitumika nguvu kidogo tu na yalikuwa justifiable ili kulinda kiti chake.
Regardless, report ya kichawa iliyoandikwa na timu ya chawa wazee that was a misuse of public funds. Who were they bluffing?Hayakuwa maaandamano halali hayakuzingatia ibara ya 18 na 20 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano, zilikuwa vurugu za wahuni, lilikuwa jaribio haramu la kutaka kupindua nchi.
Ukija kihuni utashughulikiwa kihuni ukija kiungwana utapokelewa kiungwana pia.
Siasa za harakati lazima zitumie akili sio kuongozwa na jazba bila utulivu vichwani.Regardless, report ya kichawa iliyoandikwa na timu ya chawa wazee that was a misuse of public funds. Who were they bluffing?
Chawa endeleeni kujitoa ufahamu we know y'all worthless hence these self-humiliations.
Hata kama ni hao bado sio ninwengi sana raia500 kufa bila hatia bado hamuachi salama samia hii ni mbaya kuliko!!! Usicheze kabisa na damu za raiaNilijua kutakuwa na huu upuuzi. Vifo 518 really?
Nadhani Rais ameagiza uchunguzi w kina Ili hatua zichukuliwe Kwa wale ambao hawakuwajibika vizuri.Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Miaka 15-17 walikuwa 15.
Miaka 7-10 walikuwa 4.
Chini ya miaka 5 walikuwa 2.
Vifo vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.
Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebuleni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za kimataifa.
Sheria ya jeshi la polisi inaruhusu askari kubeba silaha lakini kutumia hiyo silaha kuna mwongozo wake sio kila tukio lazima silaha itumike.
Kwa mujibu wa shahidi kutoka Mwanza tume iliambiwa askari polisi waliwapiga risasi vijana 13 waliokuwa kwenye kibanda cha kuonyesha mpira.
Ona unavyokimbilia kutapika povu sehemu isiyohusika! Unayemtaja aliwahi kuhudumu wizara inayohusika na wagonjwa kama wewe? Una baruti ndani ya fuvu siyo bure!Idadi ya mchongo. Alipenda sana kuwaita wanyonge na nyie mnakenua tu huku yeye anapiga pesa. Ila huyu ni kiboko kabisa. Anawapiga live huku anawachamba
Na nani?Zilizikwa
Hii ndiyo dalili ya mtu kuishiwa hoja. Pole mnyonge. Nadhani umefarijika sasa kukuita hivyoOna unavyokimbilia kutapika povu sehemu isiyohusika! Unayemtaja aliwahi kuhudumu wizara inayohusika na wagonjwa kama wewe? Una baruti ndani ya fuvu siyo bure!
Ina maana Tume ya Chande ilichunguza kwa juu juu tu.Nadhani Rais ameagiza uchunguzi w kina Ili hatua zichukuliwe Kwa wale ambao hawakuwajibika vizuri.
Nawasikitikia askari wa chini watatolewa muhanga wakati Walipewa maagizo kutoka Juu.
Na hasa mama wa waharifu kasharukwa na akili tayari.Damu za marehemu hazitawaacha salama hawa wahalifu
Ndiomaana nasema "watanzania washukuru hata kwa hiki kidogo" asiyeshukuru kwa kidogo hata kikubwa hawezi kushuruWanaume: 490