PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wanaume: 490
Wanawake: 28
Askari: 16
Watoto: 21 Kati yao,
Mkuu Quinine, umefanya makosa kunakili, au tarakimu zenyewe ndizo hizo zilizotolewa na hiyo tume FEKI?.

JUMLA ya hesabu hii ni 555, na siyo hiyo 518 kama ilivyokaa kwenye kichwa cha mada yako.

Labda kama uchambuzi wa wanawake na wanaume na watoto vimechanganywa kiholela!
 
Kama kuna watu wanasema kuna zaidi ya hao, hasa wanaharakati uchwara, ambao walikuwa na miezi zaidi ya 6 kuweka hata mtandao ambao watu wanakuja kuandika majina ya ndugu na jamaa waliopotea kipindi cha tarehe 29 mpaka 31, kwanini wameshindwa kufanya hivyo?
Badala ya kulalamika hio idadi ni ya uwongo?
Waandike wapi.
 
Mapinduzi yenu yalidhibitiwa vizuri sana, mnapokuja kujiliza kwamba raia wengi waliuliwa mnakumbushwa kwamba hata askari waliuliwa na waliowaua wakavaa nguo za kiaskari wakaingia mitaani.

Vijana wa kitanzania pekee hawawezi kuwa na ujasiri mkubwa kiasi hicho, uzuri ni kwamba mfumo haufanyi kazi kwa presha za nguruwe wenye donge na nongwa vichwani kama Kalamu.
Mapinduzi halisi ndiyo kwanza yanaanza. Hakikisha masalia unayopata toka mezani kwa Samia umeyaandaa vizuri kuhudumia wanao; maanake hayatakuwepo tena.

Huu usanii wa hiyo tume ulifikiri ndiyo itakuwa kinga kwenu?
 
Mapinduzi yenu yalidhibitiwa vizuri sana, mnapokuja kujiliza kwamba raia wengi waliuliwa mnakumbushwa kwamba hata askari waliuliwa na waliowaua wakavaa nguo za kiaskari wakaingia mitaani.

Vijana wa kitanzania pekee hawawezi kuwa na ujasiri mkubwa kiasi hicho, uzuri ni kwamba mfumo haufanyi kazi kwa presha za nguruwe wenye donge na nongwa vichwani kama Kalamu.
Raia yupi alivaa nguo za askari.
 
Mkuu Quinine, umefanya makosa kunakili, au tarakimu zenyewe ndizo hizo zilizotolewa na hiyo tume FEKI?.

JUMLA ya hesabu hii ni 555, na siyo hiyo 518 kama ilivyokaa kwenye kichwa cha mada yako.

Labda kama uchambuzi wa wanawake na wanaume na watoto vimechanganywa kiholela!
Itakuwa wamewachanganya humo humo kwenye wanawake na wanaume
 
Mkuu Quinine, umefanya makosa kunakili, au tarakimu zenyewe ndizo hizo zilizotolewa na hiyo tume FEKI?.

JUMLA ya hesabu hii ni 555, na siyo hiyo 518 kama ilivyokaa kwenye kichwa cha mada yako.

Labda kama uchambuzi wa wanawake na wanaume na watoto vimechanganywa kiholela!
Wanaume 490
Wanawake 28
 
Vijana wa kitanzania pekee hawawezi kuwa na ujasiri mkubwa kiasi hicho
Tume FEKI imelizungumzia hili pia?

Samia, ambaye ni muasisi wa nadharia hiyo hasikiki tena tena akiitetea.

Hebu sasa wewe tueleze, kati ya hao waliouliwa walikuwa ni watu wa nchi zingine na siyo waTanzania.

Hii dharau yenu juu ya waTanzania sasa ndiyo inayokuja kuwamaliza!
 
Tume imejidhalilisha sana, siku zote hizo wamekaa wanatafuna posho pesa za maskini then wanakuja na majibu mepesi kama toilet paper.
The thunderstorm that will strike this old unfaithful Liar (Babu with grey hair with no wisdom) and his counterparts still doing warm up on top of Mount Kilimanjaro, their punishment is very imminent,
 
Hata wakifanya hivyo, jumla haiwi 518.
Mbona hesabu ya kawaida sana mkuu au mwalim wa hesabu mlikuwa mnapishana naye mlangoni.

Umeambiwa watu 518, wanaume 490 wanawake 28, wakiwemo askari 16 na watoto 21, zingatia wakiwemo.
 
Waandike wapi.
Kama watu wanaweza kufungua mitandao ya kutukana serikali wanashindwa vipi kufungua mitandao ya kukusanya rekodi ya watu wote waliouwa au kupotea wakati wa fujo.
 
Kama watu wanaweza kufungua mitandao ya kutukana serikali wanashindwa vipi kufungua mitandao ya kukusanya rekodi ya watu wote waliouwa au kupotea wakati wa fujo.
Ipo itawekwa wazi mda mwafaka au nenda ICC itaikuta.
 
Ukiona hadi Serikali imekiri wazi kwamba vifo ni 518 ambavyo kiuhalisia ni vingi sana basi jua idadi halisi ya waliouawa ni mara tatu au nne ya hiyo 518.
 
Nani kasema ICC imemshitaki mtu, wao wanapokea mashtaka kama wewe unamshtaki Lissu peleka mashtaka yako na ushahidi yatapokelewa. .
So mpaka sasa ICC imepokea mashtaka gani kutoka tz na nani anashitakiwa?
 
Back
Top Bottom