PostGE2025 Tume imetambua vifo 518 wakati wa maandamano ya Mo29. Wamekiri, watatokaje?

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.

Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebreni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za kimataifa.

Sheria ya jeshi la polisi inaruhusu askari kubeba silaha lakini kutumia hiyo silaha ina mwongozo wake sio kila tukio lazima silaha itumike.

Kwa mujibu wa shahidi kutoka Mwanza tume iliambiwa askari polisi waliwapiga risasi vijana 13 waliokuwa kwenye kibanda cha kuonyesha mpira.
Nimesikia 818
 
Kwa mujibu wa shahidi kutoka Mwanza tume iliambiwa askari polisi waliwapiga risasi vijana 13 waliokuwa wanaangalia mpira kwenye kibanda cha video.
Ewaaaaaa! Baaaamh!

Ukombozi umekaribia. No reverse imeenda hiyo.

Hii ndio habari ICC walikuwa wanasubiri.

Wamejitia kitanzi

Yajayo yanafurahisha…

Subiri majibu ya BBC CNN watakavyojibu

Hii Wanasema nzi kafia kwenye kidonda.

Wamejifunga wenyewe.
 
Binafsi naona kama tume imemuangushia jumba bovu.
 
Vingi vikiwa vimetobolewa na kitu chenye ncha kali yaani walipigwa risasi. Zaidi ya watu 700 walitekwa na kupotea wengine hadi leo hawajulikani.

Wengi walipigwa risasi wakiwa majumbani, madukani, sebreni nk, hii inaonyesha ni matumizi mabaya ya vyombo vya usalama kinyume na sheria za kimataifa.

Sheria ya jeshi la polisi inaruhusu askari kubeba silaha lakini kutumia hiyo silaha ina mwongozo wake sio kila tukio lazima silaha itumike.

Kwa mujibu wa shahidi kutoka Mwanza tume iliambiwa askari polisi waliwapiga risasi vijana 13 waliokuwa kwenye kibanda cha kuonyesha mpira.
Mkuu punguza hasira

CCM haiwezi kuachia dola kizembe hivyo
 
Back
Top Bottom