Pre GE2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yamkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Paul Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Si vibaya atleast wamefatilia.

Tunasubiri na NEC nayo
 
Alafu kuna wapuuzi humu ndo wanataka aje kuwa Rais 2030.

Hii nchi tumefika hatua mbaya sana!
 
Polisi kama wanaweza kuigomea mahakama kumpeleka KOMBO mahakamani ili akapate dhamana,sembuse mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama MKOA kutoitii TUME?
 
Hii si jinai?? Hii tume bwana.
 
Dunia inakoelelea ni kwenye namna ambayo wanaume wote wenye uanammume tusifanye chochote cha kuamua dhidi ya dunia ya watu legelege kutaka waishi kiume

Dunia ya aina hiyo ndiyo tunamalizia kuiaga yaani! Acha dunia nyingine ije ambapo baba wa watoto wote wanne wanaume, atashuhudia lijibaba likileta posa kwa baba wa watoto hao

Na ndipo maji yatakapoitwa mma!

Naomba hii dunia inikute nishaondoka niko kwenye sayari nyingine kabisa ya dunia
 
Sasa nini hitimisho la hiyo tume? Haya yanakula hela zetu bure tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…