Halafu anasimama kiongozi anasema hawategemei misaada.Oya kwenye ishu ya ARV wanaupiga mwingi sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu anasimama kiongozi anasema hawategemei misaada.Oya kwenye ishu ya ARV wanaupiga mwingi sana
Viongozi wanajua watu hawajui hizi mambo, kwahiyo rahisi kuwadanganya, kama hiyo ishu ya ARV labda watu ambao wako kwenye kada ya afya na wachache wanaofuatilia. Ila inatusaidia sana, sio poa. Bila misaada hatutoboiHalafu anasimama kiongozi anasema hawategemei misaada.
Vibaya mno tungezikwa sana mzeeOya kwenye ishu ya ARV wanaupiga mwingi sana
Kabisa mkuuVibaya mno tungezikwa sana mzee