Pre GE2025 Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora yamkuta na hatia ya matumizi mabaya ya madaraka Paul Makonda

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Hakuna tatizo hapo.

Tume inapokea malalamiko. Halafu yenyewe ndiyo inayochunguza na kujiridhisha kama malalamiko ni ya kweli au hapana. Ikishajiridhisha kuwa ni ya kweli, inaangalia sheria inasemaje kuhusiana na suala husika. Ndipo inatoa tamko. Ikumbukwe kuwa Tume hii haimfungi mtu wala kumpiga faini.

Baada ya kauli ya tume, vyombo vingine vya kisheria na kiutawala vinatakiwa kuanzia hapo. Mathalani kwa Makonda kuonekana hakumtendea haki mhusika, boss wake anaweza kumchukulia hatua za kiutawala, na aliyeonewa anaweza kufungua madai ya fidia. Ĺakini pia DPP anaweza kufanya uchunguzi wake, na kisha kumfungulia mashtaka Makonda, kama kwa matendo yake alitenda jinai.
 
Tusipende kulaumu sana! Kwanza jukumu la kupeleka Mahakamani sio la Mkuu wa Mkoa! Polisi ndo wanahusika! Tume inatumika na watu kumchafua Makonda!

Jamani, Makonda hawezi kuchafuliwa na mtu, alikwishajichafua kwa kiwango cha ajabu yeye mwenyewe. Mtu mpaka kuambiwa anawaondolea binadamu wrnzake haki ya kuishi, hata yeye mwenyewe wala serikali, hakuna aliyewahi kuubisha ukweli huo, kuna uchafu gani zaidi ya huo?
 
Bashite kila kona anakutwa na hatia ,hata USA aliingia kwenye 18 zao.
 
Ndugu zake wasukuma wakikusikia watakuja mbio mbio kama kumtetea ndugu yao.

Uovu wa Makonda ni wa kwake, siyo wa kabila lake. Makonda ametajwa wazi kuwa amefikia hatua ya mpaka kuwawanyima binadamu wengine haki ya kuishi (yaani ni muuaji), na hata yeye mwenyewe, wala Serikali au CCM, aliyewahi kukanusha.

Lakini wasukuma wengi ni watu wema na wanaochukizwa na hizo tabia mbaya za Makonda. Uovu wa Makonda usiwachafue wasukuma wote. Ifahamike pia kuwa hata lile kundi la wasilojulikana alilokuwa analiongoza huyu bwana, walikuwepo wengi ambao siyo wasukuma.
 
Tume hii ya wahuni haina tofauti na kile kituo cha vibaka ushauri wa kisheria wa haki za kibinadamu haya mtu katiwa chupa anatetewa mtuhumiwa haya makonda katiwa hatiani hukumu yake nini!
 
Huyo Makonda, hata nchi maarufu duniani ya Marekani, imempiga marufuku kukanyaga nchi yao, Kwa kile walichokiita kuwa Makonda ananyima haki ya kuishi ya wananchi wa TZ
VIP kwao huko? Trump kupigwa tisasi
 
Alafu sasa Tume ni Chombo cha kikatiba
 
Tume hii ya wahuni haina tofauti na kile kituo cha vibaka ushauri wa kisheria wa haki za kibinadamu haya mtu katiwa chupa anatetewa mtuhumiwa haya makonda katiwa hatiani hukumu yake nini!
Chombo cha kikatiba unasema wahuni? Nchi hii ndo mana wanasiasa kila siku wanawadharau. Sasa mkipata hata hiyo Katiba mpya alafu mnachochea Katiba kudharauliwa hivi tutafika hiyo nchi ya ahadi?
 
Je ADHABU ya kukataa Wito wa TUME na Hatia aliyokutwa nayo ni ipi?
 
WHICH IS WHICH................
 
Hao wamarekani wanayafanya mangapi dunia hii?! Acha kutawaliwa mpumbavu wewe!
Wanafanya mengi ikiwemo kuwapa ARV , vyandarua, kuwajengea vyoo, kuwapa mchele na maharage yaliyoongezwa virutubisho ,kuwajengea barabara.

Je hayo wanayofanya huoni weww ulivyo mpuuzi?

Fika marekani halafu uniambie wapi utakuta wapi kuna kibao kimeandikwa kwa "msaada wa watu wa Tanzania"

Je nani anatawaliwa hapo?
 
Oya kwenye ishu ya ARV wanaupiga mwingi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…