M Matrix19 JF-Expert Member Joined Feb 24, 2020 Posts 7,731 Reaction score 13,611 Jan 13, 2025 #101 Mashamba Makubwa Nalima said: Oya kwenye ishu ya ARV wanaupiga mwingi sana Click to expand... Halafu anasimama kiongozi anasema hawategemei misaada.
Mashamba Makubwa Nalima said: Oya kwenye ishu ya ARV wanaupiga mwingi sana Click to expand... Halafu anasimama kiongozi anasema hawategemei misaada.
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 13, 2025 #102 Matrix19 said: Halafu anasimama kiongozi anasema hawategemei misaada. Click to expand... Viongozi wanajua watu hawajui hizi mambo, kwahiyo rahisi kuwadanganya, kama hiyo ishu ya ARV labda watu ambao wako kwenye kada ya afya na wachache wanaofuatilia. Ila inatusaidia sana, sio poa. Bila misaada hatutoboi
Matrix19 said: Halafu anasimama kiongozi anasema hawategemei misaada. Click to expand... Viongozi wanajua watu hawajui hizi mambo, kwahiyo rahisi kuwadanganya, kama hiyo ishu ya ARV labda watu ambao wako kwenye kada ya afya na wachache wanaofuatilia. Ila inatusaidia sana, sio poa. Bila misaada hatutoboi
B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 24,831 Reaction score 45,154 Jan 13, 2025 #103 Mashamba Makubwa Nalima said: Oya kwenye ishu ya ARV wanaupiga mwingi sana Click to expand... Vibaya mno tungezikwa sana mzee
Mashamba Makubwa Nalima said: Oya kwenye ishu ya ARV wanaupiga mwingi sana Click to expand... Vibaya mno tungezikwa sana mzee
Mashamba Makubwa Nalima JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 4,978 Reaction score 2,411 Jan 13, 2025 #104 Bush Dokta said: Vibaya mno tungezikwa sana mzee Click to expand... Kabisa mkuu