888I
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 472
- 581
Mambo vipi wana JF.,.
Nimeona hii taarifa rasmi ya Tume Huru ya Uchunguzi wa Matukio ya Uvunjifu wa Amani Oktoba 2025 – wanaomba wananchi wapeleke maoni, ushahidi, picha, video, maandishi na nyaraka zozote za matukio hayo kwa barua pepe: [email protected] au WhatsApp/SMS.
Sasa najiuliza: Hii Tume ilikuwepo wapi wakati wa Oktoba 29 na baada yake? Polisi, jeshi na vyombo vya usalama vilikuwa mtaani kila kona, wakirekodi kila kitu kwa camera zao za mwili na drones – je, hawakuona au hawakuwa na picha zao? 😂
Halafu Msigwa anasema video za CNN zilikuwa AI na uongo, zilizotumika "kuchafua nchi". Sasa Tume yao inaziomba zile zile video na picha kutoka kwa wananchi – labda ili wathibitishe kuwa zilikuwa AI au wazitumie kuthibitisha "uvunjifu wa amani" pekee? 🙌
Tume inaitwa "Huru", lakini inaongozwa na wastaafu wa serikali na vyombo vya dola – je, huru kwa upande gani haswa? Wanaomba ushahidi ili kufahamu "ukweli wa matukio ya uvunjifu wa amani".
Mtapeleka ushahidi wenu? Mimi naona hii ni comedy ya mwaka – Tume inahitaji WhatsApp forward ili kujua kilichotokea mbele ya macho yao! 😂😂
Mnatuma picha au mtawait for ripoti yao ya "huru"?