Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 5,383
- 18,776
Yupo wapi Warioba kwenye hiyo picha (group photo)!?TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba.
Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika katika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam.
Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.
View attachment 3529824
Wahuni hawaaminikiYupo wapi Warioba kwenye hiyo picha (group photo)!?
HaitawezekanaMaji shingoni, wanataka kumchafuwa mzee wetu...
Wanachukiwa kwa ulafi wao, ubinafsi, ufisadi, utekaji, udhalilishaji, uuwaji, wizi wa maliasili na rasilimali! Watu kama utataka MARIDHIANO ya namna Gani?!Haitawezekana
Kwanini inaitwa tume ya kuchunguza uvunjifu wa amani na si tume ya kuchunguza mauaji?TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba.
Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika katika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam.
Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.
View attachment 3529824
Chanzo: HabariLeo

Tume ikitoka hapo itaenda kuonana na CNN, BBC na Al Jazeera.TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, leo Januari 14, 2026, imekutana na Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais mstaafu, Joseph Warioba.
Mkutano huo wa Tume na Mzee Warioba, ambaye pia ni Jaji mstaafu ulifanyika katika ofisi za Tume hiyo zilizopo Benki Kuu ya Tanzania (BoT) jijini, Dar es Salaam.
Miongoni mwa yaliyojadiliwa ni pamoja na namna matukio hayo yalivyoanza, athari zake kwa watu, mali na miundombinu pia ushauri wa namna ya kuondokana na matukio hayo.
View attachment 3529824
Chanzo: HabariLeo
Thisnis very important! Sójui kama atasalimikaWasimuwekee sumu