PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yakutana na Jaji Warioba kujadili matukio ya Uchaguzi wa 2025

PostGE2025 Tume ya Jaji Chande yakutana na Jaji Warioba kujadili matukio ya Uchaguzi wa 2025

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sijaelewa kwa nini ofisi za hiyo tume feki zipo BOT. Ni chaguzi ya sehemu inayofikirisha.
Wakimaliza vikao wanasaini bahasha zinatoka hapohapo BOT noti mpyampya.

Mnataka mfundishwe kila kitu?

Hii tume tutailaumu bure, hakuna mtu wa kukataa pesa za bure uzeeni kwa kukaa tu mezani kusikiliza porojo na kuchapisha report kitabu kizima unakabidhi ikulu.

Tena hiyo kazi inaweza kufanywa na AI wewe unakula zako bata tu ufukweni.
 
Back
Top Bottom