Tume ya Katiba Iondoke Sasa Isiongezewe Muda ni Kupoteza Kodi za Wananchi Bure!!


Hata Nape alitukana wazee kuwa wanasubiri kufa, kwa hiyo wewe kurudia kauli hiyo hiyo inaonyesha aina ya malezi vijana wa CCM mmepitia. Mi nimeishaona record zako za shule ya sekondari huku zikionyesha mwaka wako wa kuzaliwa, una umri wa miaka 55 na miezi 7,,,, huna pa kujificha wala kukwepa umri wako. Fani ya siasa wewe huiwezi, rudi kapige kazi ya Ubaharia, ongea vizuri na katibu mkuu wako Kinana ana meli za kusafirisha pembe za ndovu na silaha za al shabaab, ingia huko utatengeneza hela nzuri tu. Wakati sisi vijana wa miaka 20 chini yako tuko JOB saizi tunaingiza siku na kujenga taifa maana kuna watanzania wengine wanapata mishahara kutokana na ubunifu wetu, wewe uko kwenye makochi ya mama Kilango unacheza na Social Media. Ha haa ahaaaa kula kulala at 55
 

Naona kapiga shati over-size.Kwa kama mtu asiyejua hata nguo inayomfaa yeye mwenyewe akapendeza sidhani kama ataweza kujua Watanzania tunataka katiba ya namna gani?
 

- ha! ha! ha! ha! umenivunja mbavu mamen! ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 
Naona kapiga shati over-size.Kwa kama mtu asiyejua hata nguo inayomfaa yeye mwenyewe akapendeza sidhani kama ataweza kujua Watanzania tunataka katiba ya namna gani?

- ha! ha! hizo ni nguo za summer na kwenye swimming pool maana hapo pool side u know! kama hujui si uulize kwanza, ha1 ha! ha!

Le Mutuz
 

- Kwanza sina umri wa miaka 55 maana Mwenyekiti wako Chadema ananizidi umri na hana miaka 55, pole sana lets say una point sasa inakuwaje mwenye miaka 75? ha1 ha! ha!

- Nipo ofisini kwangu hapa Tancot house 2nd FL sipo kwenye makochi ya mama yako kama ulivyosema, ha1 ha!

Le Mutuz
 
Apa ni bora kujadili sorce and not conclusion
Embu tuiangalie hii familia ya Mzee Malicela kuwanzia baba mpaka watoto.
Ebu tuanze na mkee wake ambae wengi tunamfahamu kuwa ni kilaza anaetumia kelele kuwasilisha hoja zake na kujifanya ni mkorofi kiasi kwamba ata mume wake akimchezea anamfunza adabu.
Pili tuje kwa hili kubwa jinga linalotumia umaarufu wa baba yake na kujiona eti ananguvu kisiasa wakati ukweli ni kilaza aliepitiliza.
Kisha niwaache nikisema
Ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi, Yani limwili lote lile kumbe ubongo wa mende?
 
Die hard fanatisim is a form of mental disorder dude!! WJ Malecela seek psychiatric help.
 

Tatizo ni kwamba unaangalia utendaji wa Tume ya Warioba kwa kutumia miwani ya CCM,Hapo huwezi kuuona ukweli ndugu yangu.Tume ya Warioba ya inafanya mambo yake kwa kufuata sheria.CCM walitaka kuteka nyara mchakato wa Katiba kupitia Mabaraza ya Katiba ambapo walijaza watu wao lakini Tume ikawashtukia sasa mnalia nini?
 
Siwezi kuacha watu kama wewe walete upotoshaji kisa nionekane mweupe! Nitapambana na wewe kila utakapo jaribu kupotosha wengine. Wewe ni nani ututolee amri kuwa tume iondoke kwa kuwa inakula kodi zetu. Wewe unalipa kodi?

Mkuu acha kujibizana na Darasa la VII unampa kichwa. Ana hoja hani zaidi kuduplicate anachosema Bulembo? Rasimu yenyewe kaisoma huyu? Leave this old bogus alone. Do some serious work.
 

Yaani hili jamaa ni jinga sijawahi kuona, lilaaniwe yeye na vizazi vyake!!!!! this man deserve not to live in this Nyerere Land, our Tanganyika!! yaani hapa Ndugu yangu Nape ndo CCM inapotukanwa aisee!!!!! HUYU ---- ANATUHARIBIA CHAMA NASEMA KILA SIKU LKN HAMSIKII, HILI LIPUMBAVU LINAUA CHAMA AISEE!!!
 
Hivi we kibonge huwa zinakutosha au umezidiwa na mwili?
Mbona unamzalilisha mzee wako kutwa kushinda kwenye mtandao huna kazi?

Akina Masongange wanamsaidia kusambaza mzigo. Kulijibu jitu lisilojitambua kama hili at his old age ni kupoteza muda mkuu
 
Mkuu unafahamu matatizo ya Tume ya Katiba yanatokana na sheria mbovu zinazoisimamia. Sheria zimeacha mipaka wazi katika utendaji wa Tume na pale tume inapoanza kutumia mwanya huu watu wale wale waliotunga na kuzipitisha wanaanza kulalamika.

Layman example. Kama ninafanya kazi kwenye hotel yako na ukaniambia kama nikipata njaa nile chakula na kweli nilipopata njaa nikaamua kula kile chakula cha bei aghali na pale ulipogundua kuwa nimekula kile chakula cha bei aghali unaanza kulalamika kuwa hicho ni chakula cha wateja pekee wakati hukuwahi ku-specify wakati unanipa ruhusu kula chakula.

Hebu nifafanulie, hii sentesi ya kipengele cha 2(1) ina maana gani kisheria,
" Tume inaweza kushughulikia jambo lolote kama itakavyoona inafaa katika kutekeleza majukumu yake."
 

- HAtimaye umeongea hoja nzito, sawa sawa mkuu wangu kwa hili naweza kukubali.

Le Mutuz
 
Kama CCM inawabunge wengi so why worry,

Nikwambie tu kwamba lije jua ije mvua katiba itaandikwa kama tume ilivyopendekeza huwezi kuzuia chochote, wewe endelea kujisumbua kwa kumdhalilisha rais.
 
Sasa wewe mtoto wa mama umeibukia huku baada ya zeUtamu yako kufungwa ati. Daah ila mna bahati mbaya nyie. Urais ..., Ubunge... Mmebaki kujiita Matingatinga. Nenda kale ugali wa Anne wewe.
Uliapa kurudisha kadi yako ya chama chako kama rais atawasikiliza wapinzani, mbona hujafanya ivo?


- HA! HA! ha! bad communication, mimi naongelea tume ya katiba wewe unaongelea mengine kabisa fungua thread yake kama vipi! ha1 ha!

Le Mutuz
 
mkuu wavumilieni hawa ndiyo vijana wenu wa CCM waliopewa mamlaka na wazee wa chama ili kukilinda na kukitetea.
 
Wewe mzee le mutu kumbe uko huku!!Ngoja nimshitue Kiranga aje faster.
 
Kwani zile ziara zako za kipuuzi unazofanya na Bulembo unajua ni nani anazilipia ?
 
Kwani zile ziara zako za kipuuzi unazofanya na Bulembo unajua ni nani anazilipia ? Mbona hakuna aliyeandamana kuzipinga japo hazina tija !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…