PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 yakutana Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda

PostGE2025 Tume ya kuchunguza matukio ya Oktoba 29 yakutana Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda.
-
Kikao hicho ni muendelezo wa majadiliano kati ya tume, waathirika wa matukio ya ghasia wakati na baada ya uchaguzi pamoja na wadau wengine wanaohusika.
-
Majadiliano hayo yamefanyika kufuatia umuhimu wa nafasi ya Mkuu wa Majeshi, changamoto zilizojitokeza na namna uzoefu wake unavyoweza kusaidia kazi ya tume katika mchakato wa sasa wa uchunguzi.
-
Tume hiyo inaendelea na majadiliano na wadau mbalimbali kwa lengo la kubaini sababu za msingi zilizosababisha matukio hayo na kupendekeza hatua za kitaifa zitakazosaidia kuzuia matukio kama hayo yasijirudie tena.

Pia Soma: Rais Samia aunda Tume ya Uchunguzi wa matukio ya Uvunjifu wa Amani wakati na baada ya Uchaguzi 2025
1767097916798.png
 
In politics there is no shortcut way .

If you want shit to get better in your neighborhood, you have to be the one who puts the guy in office. If you vote for him, he or she owes you. That’s the game—it’s a hustle. But even aside from all that, I told people, this election is bigger than politics

KAMA WATU WANAKIMBIA UCHAGUZI WENYEWE WITH NO ANY STRONG REASON UNADHANI ITAKUAJE!.
 
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda.
-
Kikao hicho ni muendelezo wa majadiliano kati ya tume, waathirika wa matukio ya ghasia wakati na baada ya uchaguzi pamoja na wadau wengine wanaohusika.
-
Majadiliano hayo yamefanyika kufuatia umuhimu wa nafasi ya Mkuu wa Majeshi, changamoto zilizojitokeza na namna uzoefu wake unavyoweza kusaidia kazi ya tume katika mchakato wa sasa wa uchunguzi.
-
Tume hiyo inaendelea na majadiliano na wadau mbalimbali kwa lengo la kubaini sababu za msingi zilizosababisha matukio hayo na kupendekeza hatua za kitaifa zitakazosaidia kuzuia matukio kama hayo yasijirudie tena.
View attachment 3522734
Msaliti
 
Wenzetu huwa na Tume za Wazi ili kusoma lugha ya mwili (body language) ya wajumbe na wanaohojiwa


18 Septemba 2025
Pretoria, South Africa

Tume ya Madlanga Kuhusu Vyombo kuhusika na Mauaji, ushiriki wa vyombo na watu wasiojulikana


View: https://m.youtube.com/watch?v=AI-8eToHWnM
Jenerali Mkwanazi ametoa madai ya kushangaza mbele ya Tume ya Madlanga, akidai kwamba kiongozi wa mojawapo ktk Bunge la Kitaifa, mbunge Fadiel Adams, alikuwa na nafasi ya upataji wa taarifa nyeti za kijasusi ambazo hangepaswa kuwa nazo — na hata kuzitumia vibaya. Kulingana na ripoti, Adams alikasirika sana na kumkabili Jenerali Mkwanazi, akimwita "kashfa" wakati wa kikao cha Julai 2025. Mzozo huu umezua mjadala mkubwa kote Afrika Kusini kuhusu uwajibikaji, uwazi wa kisiasa, na jukumu la ujasusi bungeni. Katika video hii, tunafafanua: ➡️ Kile Jenerali Mkwanazi alichofichua katika Tume ya Madlanga ➡️ Jibu kali la mbunge Fadiel Adams ➡️ Kwa nini hili ni muhimu kwa siasa za Afrika Kusini katika siku zijazo 🎯 WEWE unafikiri nini? Je, kufichuliwa huku kuna haki — au kupata pointi kisiasa? Tujulishe kwenye maoni!
 
Waziri wa Polisi (SAPS) Afrika ya Kusini abanwa mbele ya Tume ya ambayo ni ya wazi Mubashara

Mambo Muhimu ya Siku ya 2 ya mbele ya Tume : Siku ya Bheki Cele waziri wa polisi ya Kulipuka, Kufichua na Kucheka| Ad Hoc​


View: https://m.youtube.com/watch?v=Wn6Q4TciqTU
Mambo muhimu ya siku nzima kutoka kwa kikao cha Kamati ya Muda ya Bunge mnamo Oktoba 24, 2025 – Bheki Cele aruka kimanga na kukana kumjua "Paka" Matlala "vizuri sana," anakubali kuachilia nafasi za udiwani, na kutoa madai ya ufadhili wa kampeni ya urais wa Senzo Mchunu kutoka kwa vyanzo visivyoeleweka! Tazama Wabunge wakimhoji waziri Cele kuhusu ufisadi wa SAPS (polisi), vurugu za tasnia ya teksi (" matumizi ya bunduki zaidi kuliko matawi ya mzaituni"), na uhusiano na mtoa taarifa aliyeuawa Babita Deokaran.

Zaidi ya hayo, drama huku Kamishna wa KZN (Kwa Zulu Natal) Jenerali Nhlanhla Mkhwanazi akifuta madai mazito dhidi ya Cele kupitia ujumbe mfupi - lakini Wabunge wanakataa na kumtaka arudi kutoa majibu! Uchunguzi huu wa uingiliaji kati wa polisi na kuingiliwa kati unafichua majibishanoi makali: Glynnis Breytenbach wa DA anapinga imani ya Cele, Julius Malema wa EFF anatoa wito wa kuomba msamaha unaofaa, na Wabunge wa ANC wanachunguza ushindani wa ndani wa SAPS (polisi) unaowahusisha Fannie Masemola, Dumisani Khumalo, na Shadrack Sibiya. Cele anatetea muda wake, anafafanua "maagizo haramu" yaliyomfanya "afukuzwe kazi," na anatoa picha mbaya ya vikundi vya uhalifu. Usikose matukio haya ya kusisimua
Explosive full-day highlights from Parliament's Ad Hoc Committee hearing on October 24, 2025 – Bheki Cele backtracks on knowing "Cat" Matlala "very well," admits to free penthouse stays, and drops bombshells on Senzo Mchunu's alleged presidential funding from shady sources! Watch MPs grill Cele on SAPS corruption, taxi industry violence ("more guns than flowers"), and ties to murdered whistleblower Babita Deokaran. Plus, drama as KZN Commissioner Nhlanhla Mkhwanazi retracts serious allegations against Cele via text – but MPs reject it and demand he return for answers!This inquiry into police infiltration and interference uncovers heated exchanges: DA's Glynnis Breytenbach challenges Cele's confidence, EFF's Julius Malema calls for a proper apology, and ANC MPs probe internal SAPS rivalries involving Fannie Masemola, Dumisani Khumalo, and Shadrack Sibiya. Cele defends his tenure, clarifies "illegal instructions" that got him "fired," and paints a grim picture of crime syndicates. Don't miss these jaw-dropping moments from South Africa's biggest policing scandal!
 
TUME ya Kuchunguza Matukio ya Uvunjifu wa Amani yaliyojitokeza wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu, leo Desemba 30, 2025, imekutana na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi (CDF), Jenerali Jacob Mkunda.
-
Kikao hicho ni muendelezo wa majadiliano kati ya tume, waathirika wa matukio ya ghasia wakati na baada ya uchaguzi pamoja na wadau wengine wanaohusika.
-
Majadiliano hayo yamefanyika kufuatia umuhimu wa nafasi ya Mkuu wa Majeshi, changamoto zilizojitokeza na namna uzoefu wake unavyoweza kusaidia kazi ya tume katika mchakato wa sasa wa uchunguzi.
-
Tume hiyo inaendelea na majadiliano na wadau mbalimbali kwa lengo la kubaini sababu za msingi zilizosababisha matukio hayo na kupendekeza hatua za kitaifa zitakazosaidia kuzuia matukio kama hayo yasijirudie tena.
View attachment 3522734
General KIJAMBIO
 
In politics there is no shortcut way .

If you want shit to get better in your neighborhood, you have to be the one who puts the guy in office. If you vote for him, he or she owes you. That’s the game—it’s a hustle. But even aside from all that, I told people, this election is bigger than politics

KAMA WATU WANAKIMBIA UCHAGUZI WENYEWE WITH NO ANY STRONG REASON UNADHANI ITAKUAJE!.
Kama kuna mahali cdm wametukosha watanzania, ni kugoma kushiriki uchaguzi kiinimacho na wa kipuuzi. Na ni kwa kiwango gani cdm waliweza kueleweka msimamo wao, ni ile voters turn out.
 
29 December 2025

MADELEKA : TUME HII HAINA UHALALI, INATISHA WATU KUTOA USHAHIDI


View: https://m.youtube.com/watch?v=kD5mG1QbMtU

Mahojiano exclusive ya kufunga mwaka 2025 na Peter Madeleka

Tayari viongozi wa CCM na serikali yake na wa vyombo wanasema ushahidi wa picha na video ni AI kuwa umechezewa, watu walitishiwa wafute video na picha mnato walizopiga kwakutumia simu zao, sasa kama hayo yamedaiwa na vigogo wa Samia ,

Wakili Peter Madeleka anahoji ushahidi gani raia wanaruhusiwa kuupeleka mbele ya TUME ?
 
Wanamuhoji aliyetoa amri ya kuua baada ya kusema waandamanaji ni wahalifu.
 
Back
Top Bottom