Tume ya Madini, tuambieni CPA ni nini kwenye initial za majina ya watumishi wenu

Watu wamekalilishwa tu kua kila Dr, CPA, Eng basi ni za kununua au za mchongo wakati watu wamezisotea miaka kibao darasani.

Mtu Accountant halafu bado anakengeuka nyongo jamaa kuipambania CPA yake, bongo nyoso aisee.
Watu wana wivu wa kipumbavu sana.
 
Watu wana hasira sana na wenzao wanaopiga hatua. Nilishawahi kusema kuwa watanzania wengi sio kwamba wanachukia ufisadi ila wanachochukia ni wao kutohusishwa kwenye huo ufisadi.
Kwenye uzi huu nimeligundua hilo, ndio maana ufisadi hauwezi kuisha.

Mtu hachukii ufisadi ila anawachukia mafisadi, akikalia cheo na yeye anakua fisadi vilevile.
 
Nimesoma ndio maana nimekujibu hivyo. Acheni kutunga title zenu. Kama wewe siyo Dr. au Prof title yako ni Mr, Mrs au Ms period. Ukienda nchi nyingine na kujitambulisha CPA sijui Makalla hakuna atakayekuelewa sana sana watafikiri ni initials zako tu.
Jitungie na wewe yako mkuu, huyo anaejitambulisha CPA wengine tunamtambua na tunaelewa nini anamaanisha.
 
Jitungie na wewe yako mkuu, huyo anaejitambulisha CPA wengine tunamtambua na tunaelewa nini anamaanisha.
Sawa sijakataa kuwa hamumuelewi. Ndiyo maana nimesema somewhere kuwa Tanzania wataekewa. Ila wakitoka nje ya nchi hakuna atakayekuelewa tofauti na title nyingine. Made in Tanzania.
 
Ni upuuzi, ushamba na ujima wa akili kutumia initial ya CPA, inamana na waliosomea taaluma za procument, utawala na wao waweke miinitial ya kihafidhina na ufashisti kama hiyo CPA. Kwanza hata hainogi ni aibu.
 
Cc financial services
 
Ni upuuzi, ushamba na ujima wa akili kutumia initial ya CPA, inamana na waliosomea taaluma za procument, utawala na wao waweke miinitial ya kihafidhina na ufashisti kama hiyo CPA. Kwanza hata hainogi ni aibu.

Procurement waliokuwa certified wanaweka

CPSP(T) mushi Ndesaruo

Km hakuna ulazima basi hata Dr na prof not necessary
 
CPA - Certified Public Accountant. Au nimekosea soulimeti? Ni title tu sawa na Mhandisi, Dr, Prof....

View attachment 2964357
Kwa uelewa wangu mwenye CPA huitaja, ila ni baada ya jina, ila kwa Tz naona ni kinyume. Na wahasibu hawaitwi mhasibu Juma, ila Daktari Juma ipo! WaTz ni limbukeni, faraja ya kuonesha wamesoma ila utendaji na ufanisi hakuna!
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Tuanze na Kenya tu hapo πŸ˜€πŸ˜€
Call Us: +254 (020)4923000 Email Us:info@kasneb.or.ke

Board Members​

The board provides oversight over the management of kasneb.

Board Members

Senior Management

Dr. Nancy N. Muriuki
Chairman Of The Board Of Directors.
.

FCPA Prof. Nicholas K. Letting’ PhD, EBS, HSC.
Secretary/Chief Executive Officer
.

Dr. Joseph Maina Kanyi
(Representing the Ministry of Education)
.

FCPA George Mokua
Representing Institute of Certified Public Accountants of Kenya (ICPAK)
.

Eng. Stephen Ogenga
Representing Federation of Kenya Employers (FKE)
.

Prof. CPA Elizabeth M. Kalunda
Representing Institute of Certified Public Accountants of Kenya (ICPAK)
.

Dr Percy Opio
Representing kasneb Board
.

CPA Jane W. Njogu-Macharia
(Representing the National Treasury)
.

Mr. Yussuf M. Ibrahim
Representing Ministry of Public Service, Performance and Delivery Management
.

Ms. Lilian Abishai
Representing Ministry of Public Service, Performance and Delivery Management

GET IN TOUCH​

kasneb Towers, Off Hospital Road
P.O. Box 41362 00100
Nairobi, Kenya
Tel: 020 4923000, 020 2712640, 020 2712828
ISDN: 020 4923000
Email: info@kasneb.or.ke
Terms and conditions. Another one from Ideas Factory
 
Ni upuuzi, ushamba na ujima wa akili kutumia initial ya CPA, inamana na waliosomea taaluma za procument, utawala na wao waweke miinitial ya kihafidhina na ufashisti kama hiyo CPA. Kwanza hata hainogi ni aibu.
Bahati nzuri/mbaya haiko pale kwa ajili ya kunogesha.Ukitaka ya kunogesha jiite hata Pedeshee,inanoga zaidi.
 
Mkuu Mbona unapiga kwenye Utosi..
Akiinuka Malizia na shingo
 
Nimeona na wale wa Procurement nao wamekuja na ujuha wao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…