GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC): Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28, 2020

GE2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC): Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28, 2020

Kama Hakuna tume HURU wala sihangaiki kupoteza kura yangu
 
Kumekuwa na malalamiko muda mrefu kwamba Jumapili ni siku ya ibada kwa wapiga kura baadhi, hivyo kuathiri kimoja kati ya hivyo (kura au ibada).

It is addressed now.
Watanzania wengi hawaeleweki. Afadhali ya siku ya jumapili hakuna kazi kwa wakristo wengi. Lakini hiyo jumatano watakwenda kwanza shuleni halaf saa 12 jioni watakuja kupiga kura kituo kimefungwa.

Nilishiriki zoezi la uboreshaji daftari la kudumu la wapiga kura. Kuna watu walikuwa wanapita kituo cha kuandikisha kwenda kwenye shughuli zao. Siku ya mwisho walikuja wakati muda umekwisha na mashine iko kwenye gari. Lawama tu hamkusema kuwa leo ni mwisho.

Kama kuna uchaguzi utaharibika kwa kukosa wapiga kura basi ni huu wa 2020. Jumatano ni siku ya kazi. Watu watafika kidogo.
 
Hapana mkuu, itakuwa ni siku ya mapumziko kitaifa.
 
Nasubiria kwa hamu kama kutakua na nyongeza ya idadi ya majimbo ya uchaguzi
 
Kuna kila dalili hiyo Oktoba 28' 2020 (Jumatano ) ndio siku ya kupiga kura ikafanywa siku ya Mapamziko. Tusubiri....
 
Ina maana siku hiyo itakuwa ya mapumziko??
 
"Usipoonekana kazini unafukuzwa kazi"
.... kwa maana hiyo Rais ana wajibu wa kuitangaza siku hiyo kama sio siku ya kazi maofisini (sijui mapumziko; I don't know). Otherwise, ikibaki bila kutenguliwa kama siku ya kazi tayari ni mgogoro mwingine.
 
Ina maana siku hiyo itakuwa ya mapumziko??
... inatakiwa itenguliwe kama sio siku ya kazi na mamlaka husika na badala yake ni siku ya uchaguzi mkuu; that power is vested in the President. Natumaini NEC watakuwa wamemwomba afanye hivyo ndipo wakaitangaza. NEC ni huru?
 
Back
Top Bottom