Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC): Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 28, 2020

Wametangaza siku hiyo ambayo itakuwa ni Jumatano itakuwa ni Public holiday. Wameona ni vyema kuondoa usumbufu kwa waumini wanaofanya ibada zao siku ya Jumapili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…