Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yabandika majina ya walioteuliwa kuwania Urais na Makamu wa Rais

Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yabandika majina ya walioteuliwa kuwania Urais na Makamu wa Rais

25 August 2020
Dodoma,Tanzania

Mgombea wa chama cha ngazi ya Urais wa CCK aenguliwa, aongea na waandishi wa habari



Sababu mojawapo ni mgombea mwenza Ali Said Juma kutoka Pemba alishindwa kutokea wakati wa kuchukua fomu na hata leo wakati wa kurejesha fomu leo 25 Agosti 2020.
 
Loo! Siku ya Leo itabaki ktk historia ya vizazi na vizazi!
 
Naona na tbcccm wameondoka dodoma kabisa Means zoezi limekwisha
 
Hizi lugha ndo zinawaponza siku zote hamjifunzi
Usitutishe na wewe, we have the right to do whatever as long hatuvunji sheria

Mnaongoza kwa kuvunja sheria na kuwakandamiza wapinzani and yet you preach of peace?

Mwaka huu mtaelewa tu kwamba wananchi wamewachoka, mrudi chato mkachunge mbuzi nchi yetu mtuachie
 
Wabandike wabandike kipute kianze.
tuone wakuinua mdomo ni nani huyo mwenye nguvu ya kushinda dola.
 
Bora Ubwabwa wa Rungwe Kuliko Lissu; Mpinga Maendeleo

Nimewasikiliza kwa makini sana Wagombea wa Urais kwa vyama vya Upinzani na nimegundua Mgombea makini ni Hashimu Rungwe kutokana na kuwa na sera ambazo zinajali matatizo ya Watanzania kuliko wagombea wengine wa upinzani.

Rungwe ni mgombea imara asiyelalamika kama Mtoto wa Kambo Tundu Lissu anachokifanya yeye ni kunadi sera ya kuwapatia Watanzania Ubwabwa, hasa wanafunzi ili waweze kusoma na kufaulu.

Lissu ametembea Mikoa 16 hajawahi kuwaambia Watanzania atawafanyia nini zaidi ya kulalamika na kuwafokea kama Mbwa Koko anayekaribia Kufa , au Malaya aliyetapeliwa hela na Mwanaume.

Lissu akilalamika kuhusu igizo lake la kujipiga risasi, utadhani Tanzania kuna watu wanakufa kwa Corona, utadhani Tanzania hakuna Hospitali za Rufaa au Vituo vya afya, utadhani hakuna Flyover, au hakuna umeme.

Lissu aelewe Watanzania wasasa sio kama wale wa zamani, Watanzania hawamuhitaji mgombea anayelialia na kujifanya yatima Watanzania wanamtaka mgombea Jembe na imara atakayezungumzia matatizo yao.
 
Back
Top Bottom