gspain
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 2,920
- 6,081
Kwa kazi za hovyo inayofanyika pale, yale majengo labda tufugie bata kwa shule hayafai.Tutaifutilia mbali tbc na majengo yake yatakabidhiwa wizara ya elimu ili ifunguliwe shule
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kazi za hovyo inayofanyika pale, yale majengo labda tufugie bata kwa shule hayafai.Tutaifutilia mbali tbc na majengo yake yatakabidhiwa wizara ya elimu ili ifunguliwe shule
kuna aliyewahi kupatikana na hatia kwa kosa la kujiteka? jiulize kwanini..Nimesoma mitandaoni kuwa siku ya kurudisha form za kuwania ubunge na udiwani ni moja nchi nzima.
Kama ni kweli sababu ni nini?...
Pole ndugu, chuki yako ikizidi itakufanya uteseke zaidi kwa stroke.Lissu akatwe
Aisee naona kapita Ila anasindikiza wenzake tu.Pole ndugu, chuki yako ikizidi itakufanya uteseke zaidi kwa stroke.
Jaji kaijage katumia busara kwa kumpitisha lissu...Wamuache Lissu akapambane na JIWE kwenye sanduku.Msitutishe...mwageni hata mkojo tu muone kazi
Mimi nitakata mbunye ya mamako!Lissu akatwe
Haki ikitendeka Jiwe hapati zaidi ya 10%. Hapendwi hata na maccm yenyewe! CCM wanaenda kugawana kura na ACT.Jaji kaijage katumia busara kwa kumpitisha lissu...Wamuache Lissu akapambane na JIWE kwenye sanduku.
Hakatwi mtuLisuphobia!
Act hana kituHaki ikitendeka Jiwe hapati zaidi ya 10%. Hapendwi hata na maccm yenyewe! CCM wanaenda kugawana kura na ACT.
Kabisa Mziki wa sasa JIWE anapambana na MEMBE while Lissu njia nyeupe.Haki ikitendeka Jiwe hapati zaidi ya 10%. Hapendwi hata na maccm yenyewe! CCM wanaenda kugawana kura na ACT.
Wakumwambia huo ukweli ndio hamna. Atakuja ambiwa na hali halisiHaki ikitendeka Jiwe hapati zaidi ya 10%. Hapendwi hata na maccm yenyewe! CCM wanaenda kugawana kura na ACT.
Wakati katibu wa NEC alipokuwa anapitia na kumsomea mafaili, muda wote vidole vya Jaji, havikuweza kutulia, vilikuwa vinagonga gonga meza. Ni dalili kuwa alikuwa na TENSION kali sana.Jaji kaijage katumia busara kwa kumpitisha lissu...Wamuache Lissu akapambane na JIWE kwenye sanduku.
Wakati katibu wa NEC alipokuwa anapitia na kumsomea mafaili, muda wote vidole vya Jaji, havikuweza kutulia, vilikuwa vinagonga gonga meza. Ni dalili kuwa alikuwa na TENSION kali sana.
Yaonekana alikuwa anapitia kipindi kigumu cha majaribu, atende haki au amfurahishe Jiwe.