Coach Slamah Hamad
JF-Expert Member
- Nov 12, 2014
- 3,740
- 4,938
Acha ujinga wewe! Lugha zipi hizo? Kuna mtu mwenye lugha chafu Nchi hii kama huyo anayejiita KICHAA!?
Serikali itawajibika kwa yote hakuna wa kumsingizia.Wakuu, kuna kazi hapa Dodoma imeanza rasmi saa 12 kamili jioni hii. Majina yanabandikwa kama mnavyooa
View attachment 1547809
Jamaa mwenye suti nyeusi naona anasimamia ubandikaji wa hiyo orodha.
Nimesikia yeye ndie kashika funguo za ubao wa matangazo.
[emoji23]unamtoa mwenzako kafara muda wa majeruhi
Hapana ,nimeshangaa majina yanabandikwa kabla ya Mgombea wa Chadema hajatangazwa.
Yupo kajaa tele. Jiandae na pushapu tenaNiangalizieni Mbeligiji
Yupo kajaa tele. Jiandae na pushapu tena
Wewe huenda utakuwa ulipigwa miti sana na mtu anaitwa Lisu kisha ukaachwa hewani bila kulipwa. Hivyo una hasira dhidi ya LisuBora Ubwabwa wa Rungwe Kuliko Lissu; Mpinga Maendeleo...
Nimeona makaratasi mengi labda lake litawekwa jioni hii!
Ila pia nimeona Mzee Lissu yuko active Twitter kwanini hasiseme kinachoendelea kiuhalisia mida hii?
Tutaifutilia mbali tbc na majengo yake yatakabidhiwa wizara ya elimu ili ifunguliwe shuleNaona na tbcccm wameondoka dodoma kabisa Means zoezi limekwisha