Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Yote ni mikakati ya ccm, nami awe mbunge nani asiwe, bila ya kujali ni chama gani.
 
Mtoto wa nyani aliona vichaka vinaungua akawa anaruka na kushangilia ilipofika jioni ndio akajua hana pa kulala.

How is you my babygirl!![emoji7]
 
Hiv anaondoka lini kurudi Ubelgiji?
 
Naskia askar akisema mnatuharibia nchi..hii clip imeniuma sana

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Hii iliyochezwa na CCM ni mchezo wa cowboy au tuseme ni wizi uliotumwa kufanywa ,sasa wizi unapofanikiwa walioiba wakishapeleka hela kwa aliewatuma ,bila ya shaka mnajua kinachofuata.
Hongera CCM kwa ushindi mnono sasa jipangeni tupate yanayofurahisha ,hao waliowasaidia kuiba kura kazi kwao angalieni wasije kuvujisha siri.
 
Inaeleweka tumeccm imemtangaza ila hajashinda hata Yale na vibaraka wake kina Chakubanga Polepole wanalijua Hilo .
 
#Taarifa[emoji95]tunaambiwa Jiwe hajafurahi kutangazwa mshindi kwa asilimia 84.4% alitaka atangazwe mshindi kwa asilimia kuanzia 92%.
Taarifa zinasema jikoni joto kali sana, Jiwe na jopo lake wanazinguana. Yajayo yatafurahisha. Walikubali kusaini mikataba na shetani! #TutaelewanaTu
 
Baada ya mm kutokuridhishwa na matokeo yaliyotengenezwa na maharamia nililazimika kumgegeda Binti wa UVCCM mabao matano tarehe 29/10/2020 ili kuondoa hasira zangu.
 
Kadri siku zinavyozidi uchaguzi mkuu TZ utakua kama mahafali ya fm4..miaka ya nyuma yalikua ni dili sana ila miaka ya sasa hayana hamasa tena....ipo siku wataopiga kura hawatafika hata 12%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…