Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Malizia kwa kusema baada ya kuanza kwa mfumo wa vyama vingi. Kabla ya hapo Nyerere na Mwinyi walikuwa wanapata zaidi ya asilimia 90
 
Waangalizi wa kimataifa wa ukweli walisema uchaguzi ulikuwa na udanganyifu mkubwa. Na hata bila hao waangalizi wa kimataifa, uhayawani wote tumeuona kwa macho yetu.
Kwahiyo wewe uko karibu na waangalizi wa kimataifa kuliko BBC?!!
 
Nonesense
 
Uchaguzi wa 2020 mungu ndo ajua,ipo siku mungu ataoneshesha uwezo wake,ujumbe mahalum elekea 2021, mungu anawataka WOTE wakatubu,vinginevyo vilio lahana vitatawala kuu yao ,mmoja Bahada ya mwingine, sio ujumbe wangu bali asema bwana,elekea 2021 ,so hutaki acha,full stop
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…