Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) yamtangaza Dkt. John Pombe Magufuli kuwa Rais Mteule wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa awamu ya pili

Safiii
 
Duuh mkuu uliona mbali sana
 
Kumbe tekinolojia ya Tz ilikuwa juu toka kitambo! Tume ya Tz ilihesabu kura milioni 15 kwa siku mbili tu (Uchaguzi tarehe 28 Coctober, matokeo tarehe 30 October), lakini tume ya Kenya imehesabu kura milioni 14 kwa wiki nzima (uchaguzi tarehe 9 August, matokeo tarehe 15 August)
 
Rubbish
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Kama nakuona ukifuta hii comment.
Na wawe wanaelewa,tunaposema ,2025 uchaguzi ukifanyika SSH hashindi so akilazimisha Ushindi atajijua, Mungu huongea na watu wake KWa upole Sana ila wanaofikishiwa ujumbe KWa upole huwa ni vipofu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…