mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kiufupi wamepewaaa maelekezoo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha kulalamika kama mtu asiyefahamu ukweli wa mambo. Mchakato wa kura za maoni ndani ya Ccm ilikuwa ni ushahidi tosha kuwa mwaka huu upinzani haikupata wagombea wenye elimu na sifa za kutosha.Bora hata ingekua ukiukwaji wa haki!! Wanachokifanya Tume ya Uchaguzi wakishilikiana na Wakurugenzi wa Halmashauri (Makada wa CCM walioshindwa kwenye mchakato wa kura za maoni wa mwaka 2015) ni kitendo cha kitoto kinachofanywa na watu wazima.
Mbaya zaidi huu utoto ulianza rasmi mara tu baada ya uchaguzi mkuu wa 2015 kupita. Ipo siku majibu ya hivi vitendo yatakuja kuonekana. Na kwa nini wanao enguliwa wawe ni wagombea wa vyama vya upinzani tu!!!
Yaani wagombea wa CCM tu ndiyo wenye sifa ya kujaza vizuri! Na iweje kama mtu amekosea kujaza asiitwe aje arekebishe kasoro zake?
Kwa nini mapingamizi yasiwe ni yale ya msingi tu? mfano kama mgombea ni mhamiaji haramu na ushahidi wa wazi upo, mgombea ana matatizo ya akili, nk. Hii kitu inakera sana! Na inakera zaidi pale unapoona inafanywa na watu "waliosoma" Eti Madokta wenye PhD!!
Tunaomba wanasheria atusaidie kushtaki hii tume ili hivyo vipengele virekebishweNi kweli, NEC inanajisi katiba katika vipengele vifuatavyo
1. Katiba inasema mamlaka yote yatatoka kwa wananchi
2. Kila Mtanzania mwenye vigezo vinavyojulikana ana haki ya kuchagua na kuchaguliwa.
Kitendo chochote cha kuweka vizingiti ili kuthibiti vipengele hivyo viwili ni kuonyesha kuwa NEC haijitambui in the first place. NEC ilianzishwa ili kimsingi kutetea principle hizo mbili.
NEC ilipaswa kuzilinda hizo principles kwa wivu mkubwa sana. Lakini bahati mbaya inaongozwa na watu shortsighted ambao akili zao zinawatuma kulipa fadhila kwa waliowateua badala ya katiba ya nchi
Tume imeshapoteza uhalali wa kuitwa tume ya uchaguzi.Wanabodi,
Naafuatilia kipindi cha Jicho Letu Ndani ya Habari, kinachorushwa live na Star TV kila Jumamosi asubuhi, kwenye kipindi cha leo, kutoka Mwanza, kinaongozwa na mkongwe, Doto Bulendu, na wageni wake waandishi wakongwe, Moses Mathew na Odero, na Dar es Salaam yuko Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri, Neville Meena.
Mjadala unahusu Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uchaguzi, (NEC), imeingizwa lawamani kwa kitendo chake cha kuwaengua wagombea mbalimbali kwa makosa madogo madogo ya ujazaji wa fomu, au kwa hoja nyepesi nyepesi, ambazo hazina mashiko ya kisheria kumfanya mgombea akose sifa na uhalali wa kugombea, mwanajopo mmoja akasema, kinachofanywa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi, ni ukiukwaji wa haki za binaadamu!.
Mwana jopo huyo, amesema, kanuni za uchaguzi zimeeleza wazi kuwa kabla fumu haijapokelewa, huwa inahakikiwa. Lengo la uhakiki ni kurekebisha dosari ndogo ndogo za ujazaji fomu hiyo, na kutolea mfano, kuna mgombea ameenguliwa kwa dosari ndogo tuu ya kutumia initio ya jina lake.
Kugombea ni moja kati ya haki za msingi za binaadamu ziliziainishwa kwenye Katiba ya JMT, hivyo kitendo cha Tume ya Taifa ya Uchaguzi kuwaengua baadhi ya wagombea kwa dosari ndogo ndogo ni ukiukwaji wa haki za wagombea.
Mwendeshaji kipindi, Mkongwe Doto Bulendu, amelipongeza Jukwaa la Wahariri, kuwapatanisha TBC na Chadema, baada ya Chadema kuwafukuza TBC kwenye kampeni zao. Katibu Mkuu wa Jukwaa la Wahariri, Neville Meena, amezipokea shukrani hizo kwa shingo upande kwa kutumia msemo wa lugha ya Kilatini, kuwa "hupaswi kushukuriwa kwa kutimiza wajibu wako".
Meena amekiri waandishi wa habari na vyombo vya habari, havikutimiza wajibu wake kikamilifu kwa kunyamazia unfairness iliyofanywa na NEC kuwaengua wagombea na kukubali pingamizi zenye hoja nyepesi nyepesi. Kama media zingeliangazia suala hili kikamilifu, lingeisaidia NEC kutenda haki.
Pia NEC, imeingizwa lawamani, kwa kuelezwa kuwa uamuzi wa NEC kuengua wagombea ni uamuzi wa mwisho, final and conclusive, huu ni udikiteta. Katiba ya JMT, inaeleza wazi mahakama ndio mamlaka ya mwisho ya utoaji haki, sasa NEC isipotenda haki, kwa kumuengua mgombea kwa maonevu, mgombea kama huyu aende wapi?.
Jopo pia limeilaumu sheria yetu ya uchaguzi, ina mapungufu makubwa yanayafanya uwanja wa mapambano usiwe sawa, kwa mgombea mmoja kugombea huku akiwa ni rais wa JMT, anagombea na urais mkononi, halafu anashindana wagombea wengine with nothing!. Usawa uko wapi? Japo limenote kuna wakati mgombea mmoja anatoa ahadi za kampeni ambazo ni firm akiwa kama ni rais wa JMT na sio kama mgombea wa CCM.
Paskali
Tume inapaswa kufanya kazi kwa mujibu wa sheria siyo matakwa binafsi ya mteuzi wao.Msitake kuilaumu NEC pekee kwa lengo la kumnusuru Muhusika Mkuu wa mambo haya ambayo awamu zilizopita hatakuyashuhudia kwa kiwango hiki.
NEC kwa kushirikisha na Wasimamizi wa Uchaguzi , wanafanya haya kumfurahisha Bwana fulani aliejiapiza kuua upinzani by 2020.
Wanabodi,

[/QUOTE
Leo akili zimekurudia
Bila shaka kama ungeshiriki ungepinga nao wote na kutetea tume ya chama chenu na mfalme jWanabodi,

Jopo pia limeilaumu sheria yetu ya uchaguzi, ina mapungufu makubwa yanayafanya uwanja wa mapambano usiwe sawa, kwa mgombea mmoja kugombea huku akiwa ni rais wa JMT, anagombea na urais mkononi, halafu anashindana wagombea wengine swith nothing!. Usawa uko wapi? Japo limenote kuna wakati mgombea mmoja anatoa ahadi za kampeni ambazo ni firm akiwa kama ni rais wa JMT na sio kama mgombea wa CCM.
Paskali
Bibie umerudi kwa jukwaa.Wagombea wengi wa Upinzani walivunja kanuni za Uchaguzi makusudi ili waondolewe
Kwasababu hawana uhakika wa ushindi hata 1%
YawezekanaWagombea wengi wa Upinzani walivunja kanuni za Uchaguzi makusudi ili waondolewe
Kwasababu hawana uhakika wa ushindi hata 1%
Mnafiki sana yule Bwana!Na amewapa baraka zote za kufanya haya, hata siku moja hajawahi kusikika akikemea uhuni huu,zaidi ya kuusifia.
Umeandika Pumba ndugu,jaribu kuangalia vizuri ulichoandika!Wagombea wengi wa Upinzani walivunja kanuni za Uchaguzi makusudi ili waondolewe
Kwasababu hawana uhakika wa ushindi hata 1%
Ewe Mwenyezi Mungu mlaani muasisi wa uharamia huu wa kisiasa.Msitake kuilaumu NEC pekee kwa lengo la kumnusuru Muhusika Mkuu wa mambo haya ambayo awamu zilizopita hatakuyashuhudia kwa kiwango hiki.