Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Uchaguzi, (NEC), Lawamani Kuwaengua Wagombea Kwa Hoja Nyepesi Nyepesi, Je ni Ukiukwaji wa Haki za Binaadamu? Jicho Letu

Kuenguliwa kwa wagombea ni mkakati wa dola kuhakikisha CCM inapata mteremko. Mambo haya yalianza mwaka jana kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa. Hata hivyo vyama vya upinzani vina sehemu kubwa ya lawama kwa hili, kushiriki uchaguzi pasipo tume huru ya uchaguzi. NEC na ZEC ni mawakala wa CCM katika chaguzi hizi.
 
Wanabodi,

My Take
Lawama hizi kwa NEC, zisiposhughulikiwa in time, zitatuharibia matokeo ya uchaguzi wetu kwa kusababisha bitterness ndani ya mioyo ya watu kuwa uchaguzi Mkuu ujao sio huru na haki.

Paskali
Nilipenda sana makala na hoja zake zikigusa maeneo mengi. Leo ni upande mmoja tu kusifia.
Nikiona makala yake huwa nasoma tu kichwa naishia.
Mkuu Mzamifu, karibu katika makala hii, uangalie jinsi ninavyosifu Tume ya Uchaguzi NEC kwa kuwaengua wapinzani!.

P
 
Mkuu fundimchundo , nimeguswa na bandiko lako hili, mimi ni realist, ma realists wote, hata kama hau support kilichofanyika, lakini when kumetokea kitu kilichotokea, and there is nothing anyone can do to change the situation, ma realists wote tunakubali matokeo, katika muktadha wa appreciating the situation and suggest the best way forward out of the situation.

Vyama vya siasa sio mali ya watu, viongozi, ni mali ya umma, hivyo maamuzi yoyote yatafanywa kwa kutanguliza maslahi ya umma.
Kwenye hili, maslahi ya umma ni kwa wapinzani hao wachache waliopata fursa ya kuingia Bungeni, waingie waka salvage what is left of opposition in Tanzania.

Nimekuleta hapa ili kukujulisha, kuwa tulishauri pia the best way forward, ukitoa ushauri mzuri, hata kama haukufuatwa, wewe unakuwa umetimiza wajibu wako.

Mimi nimetimiza wajibu wangu.
Kama kosa langu ni kuukubali ukweli jinsi ile ulivyo, nalikubali kosa hili.

P
 
Nape ni mwana CCM, haya anayoyasema leo, alipaswa kuyasema wakati ule ule wa uchaguzi ili kuzuia hayo mapingamizi. Kitendo cha kusema ukweli huu leo, ambapo, hausaidii kitu, ni kama unafiki fulani!.

Mimi pia ni mwana CCM, haya anayoyasema Nape leo, mimi niliyasema kabla wakati ule ule wa uchaguzi.


P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…