Uchaguzi 2020 Tume ya Taifa ya Uchaguzi yamrejesha Boniface Jacob jimbo la Ubungo

Hongera Boniphace.
Hongera NEC. Kumbe mnaweza. Rudisheni wore wakahukumiwe na wapiga kura.
 
Hii ina maanisha kuwa CCM waliwapinga wapinzani wote wakijua wote watahenguliwa ili wao wapite bila kupingwa
Yeye alimpiga mtu tofali ACT nao wakampa Spana.
Alirusha ushi barai wakapiga geda nzuki.
 
Walau, NEC rudisheni wagombea wote watu wapambane. Hatuhitaji wabunge na madiwani wa tume, oneni aibu ni fedheha kwenu.
NEC waajabu!. taasisi nyeti zote huwa zinatoa nafasi ya muhusika kurekebisha makosa kwenye nyaraka na kuzirudisha upya bila makosa. Hawa NEC hivyo vijikanuni uchwara Wana ving'a g'ania ili iwe je?
 
Sasa Jacob aende kuchukua jimbo lake la Ubungo na madiwani wote.
 
Reactions: PNC
Boniface Jacob a.k.a Savimbi, is back in the game😂😂😂
 
NEC waajabu!. taasisi nyeti zote huwa zinatoa nafasi ya muhusika kurekebisha makosa kwenye nyaraka na kuzirudisha upya bila makosa. Hawa NEC hivyo vijikanuni uchwara Wana ving'a g'ania ili iwe je?
Mbona yale ya Lisu kwa Mkulu ya picha kuto kuonesha masikio ya Mkulu yalifanyiwa fever
 
Sijaelewa, hizo rufaa ni wale walioondolewa kugombea kupitia vyama pinzani au walioachwa ccm ndo wamekata rufaa??
ukiachwa ccm tume haihusiki,ni wale walipitishwa na vyama vyao,lakini Nec majimboni ikawaengua,wakakata rufaa nec Taifa
 
Ktk majimbo ambayo ccm wanapata majimbo kwa kuteleeza ni chamwino, mtera na kwa Ndugaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…